Tetesi: Rais Magufuli, Kuna kijana unayemuamini sana ambaye yumo kwenye kundi la kukuangusha

Wakati Twiga anachungulia dirisha la Air Quarter, hiyo "security apparatus" ilikua "inajamiana"?

Huyu huwa anatumia redbone marrow nyakati fulani kama mbadala wa medula
 
Hata mimi nilimuona kijana wake mwingine akonong'ozaa na Lowassa
 
Utawala uliofitinika.....wanatafunana wenyewe,atakayeonyesha ubingwa wa majungu na fitna anapanda cheo(mnaofata principles mtakoma na usomi wenu)
 
Hakuna linalofanywa hapa likabaki kuwa siri..



 
Mmmmh... mmmhh.. mmmhh..

Mmmhh... nyie shauri yenu, Mh. Rais akiipata hii habari na akachunguza na kujua ni kweli, ata kata tamaa kabisa kama kuna mtu anamzunguka, atakufa moyo sana, na atashikwa na hasira sana hata ingekuwa mm, nitachukia nikijua ni kweli...

Atatumbua mtu... ngoja nikae kimyaaa, sipendi habari za usaliti saliti kama hz... | Najua atachunguza kujua ukweli |

I repeat, sipendi habari kama hz... kama mtu Mh. Rais kakuamini, alafu ijulikane kweli unafanya upuuzi na kumzunguka, that is worst... nachukia..
 
Wewe huwezi mchongea Makonda Kifala.
Magufuli ana vyanzo vya habari kuliko unavyofikri wewe.
Pole yako sana, hapa kazi tu, majungu hayana nafasi awamu ya Tano.
 
Kama kuna kijana mmoja tu anaweza kuangusha Serikali mbona Ukawa tunaandamwa hivyo na sisi nia yetu sio kuangusha Serikali?
 
Wakati Twiga anachungulia dirisha la Air Quarter, hiyo "security apparatus" ilikua "inajamiana"?
mkuu, pamoja na kuwa umekosea ukaandika Air Quarter badala ya Air Qatar,
umenifanya nicheke mpaka basi.ati ilikuwa inajamiiana, hahahahaaaaaaa.
 
Jambo zito kama hili likisemwa lisipuuzwe, hatua madhubuti zichukuliwe!!
Kuna watu wana maslahi yao hawapendi kupoteza.
Tulimpoteza PM Sokoine kiajabu ajabu, tuwe makini kila mtu kwenye kitengo chake, msifanye masihara!!
Lisemwalo lipo kama halipo laja!!
Mdharau mwiba mguu uota tende!!
 
Wewe huwezi mchongea Makonda Kifala.
Magufuli ana vyanzo vya habari kuliko unavyofikri wewe.
Pole yako sana, hapa kazi tu, majungu hayana nafasi awamu ya Tano.
Mkuu ni bora ungekaa kimya kuliko kutusi mleta mada. JF humu mambo hua yanasema wazi na kwa kiasi kikubwa hua kweli, sasa endelea kujipa matumaini hapo. Ungekua na akili ungefatilia ujue ukweli wa jambo.Ameshakwambia kua hawezi kwenda ikulu kuonana na mkuu sasa wewe unatakaje? Aje nyumbani kwako?
 
Naww utakuwa mtu wa hatari, kote huko unae tu,
 
Kuna watu wanalipwa kwa shughuli za kumlinda halafu umeuona msafara wa raisi ujui gari lake lipi na njia yote yake, kuna ambulance na walinzi si chini ya 200 by the looks.

Isitoshe hakuna asichokijua yeye au watu wake kama hawa viranja wa mitandaoni nao wanajua provided story ina ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…