Tetesi: Rais Magufuli, Kuna kijana unayemuamini sana ambaye yumo kwenye kundi la kukuangusha

hii serikali imekua ya kimbea na majungu na muasisi wke ni baba jesc.a mwenyewe......!! kazi mnayo nyie watanzania.
 
Wewe huwezi mchongea Makonda Kifala.
Magufuli ana vyanzo vya habari kuliko unavyofikri wewe.
Pole yako sana, hapa kazi tu, majungu hayana nafasi awamu ya Tano.
ulijuaje kuwa ni makonda?au ndiye nini funguka unajua mengi.


swissme
 
Mtoa mada umekurupuka!
1. Serekali hii haijaingia madarakani kwa Mapinduzi , Bali kidemokrasia hivyo 'Hakuna UADUI Kati ya awamu hii na awamu iliyopita.
2. Wale wanaopata matatizo ya kutumbuliwa 'Wanaondolewa tu kutoka kwenye madaraka ' lkn mahusiano Yao kijamii yanaendelea.
3.Taasis ya Urais ina Mtandao mkubwa uitwao 'USALAMA WA TAIFA ' hivyo Kiongozi akiwa 'Mnafiki' habari hufika kwa Mkuu haraka KULIKO unavyoweza kuamini!
4. Tuwatie Moyo viongozi wetu ili waweze kutuvusha. Baadhi ya 'Matamko' yanaweza kua yamekosewa lkn hadi sasa hakuna Athari yoyote kwa Mwananchi . Then Kiongozi anaendelea kupata Uzoefu na hatimae Ni UFANISI ZAIDI
 
Uyo kijana nimewai kuwaona na na uyo wazir wa zamani wa nnje ya geti na mtoto mtuku mwenye ukasi wa kufuru
 
Ngedere anapopeleka kesi ya Mtoto wa chui kwa mama Chui.
Ili amwadhibu mwanae.
 
Ila lisemwalo lipo. Kama halipo laja.
Aitwe tu ahojiwe. Akikataa.piga chini.
Watu mbona tupo tu tunahitaji kula pia hayo mema ya inji.
 
umeandika kama kuna ugomvi kati ya awamu ya nne na tano, hebu fafanua. Wakati vikao vinafanyika ulijiposition wapi?
 
Mtukufu amekusikia na huyo kajana atapewa tena majukumu makubwa zaidi, hivyo ndivyo mtukufu wetu hujibu.
 
Mkuu kwa upande flani unaweza ukawa umesema ukweli lakini kumbuka kua wakati wa kutia ni CCM kulikua na wagombea zaidi ya 30, Usidhani wote wanafurahia mkuu kukalia nafasi ile japo ni wanaccm wote. Usizunngumzie mapinduzi kitu ambacho hakina taswira kwetu ila fikiria kua 2020 kuna uchaguzi na sio wote wananaofurahia maamuzi ya mkuu ya sasa hata kama ni wanaccm.Hawa ndio wanaoweza kumkwamisha majukumu yake wananchi wakapoteza imani nae kabla ya 2020. Wachawi wake sio UKAWA ni CCM wenyewe.
 
Mkuu hii mikoba ya Lisabon ulikabidhiwa lini?.
 
Jamaa hakuna athari yoyote kwa mwananchi hili LA sukari hujaoona au una maana ya mwananchi wa wapi
 
Ila nimeanza kuamini kuna watu wanaleta siasa kwenye suala makini kama hili. Kwanza huyu kijana ana ujasiri mkubwa. Na msifikiri yuko kama nyie mlivyo. Haropoki, maana kesha sema recording ya sauti zao kwenye simu anazo alichezesha. Sasa wengine humu wanapinga bila kujua lolote. Asante kijana kwa taarifa hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…