Kusema ukweli,raisi magufuli hafai kuongoza taifa hili lenye tofauti za imani,makabila na itikadi. Tunajipeleka pabaya sana. Huyu mtu hafai kuwa raisi wa nchi. Ndio hapa sasa tunaona majawabu ya siasa katika kazi maana kama usalama wa taifa wanapotoa ushauri na kuzingatiwa tusingefika hapa,maana vetting ingezingatiwa.
Tumlaumu nani? Kikwete and co. Maana baada ya hapo ndio magufuli akaukwa uraisi huo lakini hakuwahi kufikiriwa.
Kingine, hakuna muda ambao nchi imekuwa more sensitive katika ukanda zaidi kuliko ilivyokuwa nyuma huko kuhusu udini. Naamini pia,siasa zetu za nje pia zinabadilika kwa kile ambacho magufuli haelewi mambo yanavyokwenda. Sio kila kitu kwenye dunia hii aliyoumba Mungu kina make sense. Yeye anataka kufanya vitu sababu vina make sense wakati vingine ni karata na maamuzi ya haraka katka kufanikisha jambo.
Magufuli atatuletea matatizo makubwa kama hatazibitiwa.