Rais Magufuli: Kuna Mbunge ana vyeti vya "Ujanja ujanja" lakini kwa kuwa sifa ya Mbunge ni kujua KK basi watamalizana wenyewe!

Wewe mburula huwezi linganisha Elimu ya Rais Magufuli na wewe mbumbumbu mbeba mabox na kuosha vibibi vizee hapo kwa Mabeberu!! Nenda hapo UDSM ukapate taarifa zake kuhusu uwezo wake kielimu na knowledge kwa ujumla!
Kahurumie haka ka askofu feki kalifukuzwa kana ishi kwa utapeli town
 
Atakuwa mbunge wa musoma mjini Vedastus Manyinyi Mathayo
 
Phillip Mulugo,
Babu Tale
Tabasamu
Joseph Msukuma
Lusinde.
Hao watatu ni standard seven leavers tu

Nawaza tu
 
Hapo ndiyo huwa nina kosa maana ya upinzani unapoamua kupinga kila kitu hata kama kipo sawa! Mbona Shule ya JPM iko vizuri, wazi tena hapa hapa Tanzania! Inafaa sana mkitoa hoja mbadala, kuliko viloja!
Siyo kweli, Jiwe kamtoa roh yuke saa tisa kisa tu kahoji elimu yake
 
Wewe mburula huwezi linganisha Elimu ya Rais Magufuli na wewe mbumbumbu mbeba mabox na kuosha vibibi vizee hapo kwa Mabeberu!! Nenda hapo UDSM ukapate taarifa zake kuhusu uwezo wake kielimu na knowledge kwa ujumla!
Sasa unalia nini mkuu? Au wew ndiye jiwe mwenyewe nini! Ben saa 8 aliwahi kulifatilia hilo natumai unajua lililomkuta
 
Hapo ndiyo huwa nina kosa maana ya upinzani unapoamua kupinga kila kitu hata kama kipo sawa! Mbona Shule ya JPM iko vizuri, wazi tena hapa hapa Tanzania! Inafaa sana mkitoa hoja mbadala, kuliko viloja!
shule ya jpm iko vizuri hahahahaa na udokta wake hajui tamka maneno ya kiingereza uelewa wake wa dunia pia ni mashaka matupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…