Kwani wale 19 wana sifa za kuteuliwa kuwa mawaziri kadri ya katiba ya tanganyikaRais Magufuli amesema kuna mbunge vyeti vyake ni " hewa" na historia yake ya elimu imejaa ujanja ujanja.
Rais Magufuli amesema huyo mbunge asingeweza kupata teuzi ya uwaziri lakini kwa bungeni atawafaa kwa sababu sifa kuu ya mbunge ni kujua kusoma na kuandika.
Bado najiuliza ni nani huyo? Au ni katika wale 19?
Maendeleo hayana vyama!
Alifeli form six akakimbilia ualimu mkwawaAcha uongo! Waulize wanafunzi wake pale Sengerema Sec. watakuambia hali halisi ya Rais Magufuli alivyokipanga kichwani hata wale waliofanyakazi naye pale Nyanza watakueleza hali halisi alivyo intelligent!
Aliingia chuo kwa mature entry, ndo maana ya kuunga unga dogo usinibishieAcha uongo! Waulize wanafunzi wake pale Sengerema Sec. watakuambia hali halisi ya Rais Magufuli alivyokipanga kichwani hata wale waliofanyakazi naye pale Nyanza watakueleza hali halisi alivyo intelligent!
Acha uiongo bwashee.Alifeli form six akakimbilia ualimu mkwawa
Wa Lindi Kilwa kwa BwegeRais Magufuli amesema kuna mbunge vyeti vyake ni " hewa" na historia yake ya elimu imejaa ujanja ujanja.
Rais Magufuli amesema huyo mbunge asingeweza kupata teuzi ya uwaziri lakini kwa bungeni atawafaa kwa sababu sifa kuu ya mbunge ni kujua kusoma na kuandika.
Bado najiuliza ni nani huyo? Au ni katika wale 19?
Maendeleo hayana vyama!
Amteue kuwa mkuu wa Mkoa wa Dar, maana sifa moja ya ukuu wa mkoa Dar ni kuwa na vyeti fake
Wewe mburula huwezi linganisha Elimu ya Rais Magufuli na wewe mbumbumbu mbeba mabox na kuosha vibibi vizee hapo kwa Mabeberu!! Nenda hapo UDSM ukapate taarifa zake kuhusu uwezo wake kielimu na knowledge kwa ujumla!
Ilikuwa inaitwa " A" Level with education.......3 years!Ngoja nikupe taarifa kidogo. Enzi hizo kama unafaulu vizuri form 4 ulikuwa unachukuliwa moja kwa moja kwenda chuo cha ualimu. Hivyo yeye aljfaulu vizuri ndiyo maana alienda moja kwa moja Chuo cha Ualimu huko Iringa na baada ya hapo akaenda kufundisha then UDSM. Zamani wote waliokuwa wanaenda vyuo vya ualimu lazima awe kipanga mkuu!
RIPMbona wako wengi tu ndani ya maccm ikiwemo wewe na master degree yako na Phd.
PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya! | JamiiForums
Dah Dogo Afadhali Aisee utanisaidia nipumzike milele. Yani Figo imefeli siwezi kugegegeda tena sasa kuna haja gani ya kuishi? Yani toka 1988 una kisasi tu. Sasa nikija sasa hivi kuwaibia iyo flat screen yenu 64 inches itakuwajeNjoo nikukate kichwa Sasa nadhani muda ndio huu.
Rais Magufuli amesema kuna mbunge vyeti vyake ni " hewa" na historia yake ya elimu imejaa ujanja ujanja.
Rais Magufuli amesema huyo mbunge asingeweza kupata teuzi ya uwaziri lakini kwa bungeni atawafaa kwa sababu sifa kuu ya mbunge ni kujua kusoma na kuandika.
Bado najiuliza ni nani huyo? Au ni katika wale 19?
Maendeleo hayana vyama!
Utendaji wake was kazi tu unaonyesha kichwani Yuko vizuri SanaAcha uongo! Waulize wanafunzi wake pale Sengerema Sec. watakuambia hali halisi ya Rais Magufuli alivyokipanga kichwani hata wale waliofanyakazi naye pale Nyanza watakueleza hali halisi alivyo intelligent!
Kwa kuwa amesoma na hao ndio inahalalisha kuwa na yeye alifaulu kama wao!? Acha mzaha aisee.Mwigullu Nchemba kasoma pale Udsm na akina Tundu Lisu na Zitto Kabwe!
Waliokuwa wanajiunga vyuo enzi hizo walikuwa hawana ufaulu wa masomo matatu,hivyo walijiunga kwa kilichoitwa "half combination".Jiwe alipungukiwa sifa hiyo na kwenda kwa"nusu kombi".Acha uiongo bwashee.
Ualimu wa Mkwawa ilikuwa unapiga A level 2 years na unaongeza mwaka mmoja wa education kama ilivyokuwa Shycom kwa walimu wa masomo ya biashara!
Jina lako linasaliti ulichokiandika. Umeshawahi kumtembelea mjomba wako kule jumba kuu jeupe tangu aukwae urais!?Hapo ndiyo huwa nina kosa maana ya upinzani unapoamua kupinga kila kitu hata kama kipo sawa! Mbona Shule ya JPM iko vizuri, wazi tena hapa hapa Tanzania! Inafaa sana mkitoa hoja mbadala, kuliko viloja!
Acha mzaha wewe! Hii hii udsm "jalalani university"! Kuna kitu gani kizuri kinaweza kutoka jalalani!?Wewe mburula huwezi linganisha Elimu ya Rais Magufuli na wewe mbumbumbu mbeba mabox na kuosha vibibi vizee hapo kwa Mabeberu!! Nenda hapo UDSM ukapate taarifa zake kuhusu uwezo wake kielimu na knowledge kwa ujumla!
Jina lako linasaliti ulichokiandika. Vipi mjomba wako aliwahi kukukaribisha kule jumba kuu jeupe tangu aukwae urais!?acha kua mjinga na mbumbavu elimu Raisi wetu john . sio ya mashaka nenda UDSM utaona
Mbunge ni nani? Hao wasomi ni akina nani?Haoni hata aibu kulipwa milioni 12 huku wasomi wanalipwa 710,000