johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #81
Swala halikuwa kukosa ufaulu wa masomo matatu bali kufaulu kwa kiwango cha A+ masomo mawili.Waliokuwa wanajiunga vyuo enzi hizo walikuwa hawana ufaulu wa masomo matatu,hivyo walijiunga kwa kilichoitwa "half combination".Jiwe alipungukiwa sifa hiyo na kwenda kwa"nusu kombi".
Wala usimtetee Magu. PhD yake ya maganda ya korosho ni plagiarismWewe mburula huwezi linganisha Elimu ya Rais Magufuli na wewe mbumbumbu mbeba mabox na kuosha vibibi vizee hapo kwa Mabeberu!! Nenda hapo UDSM ukapate taarifa zake kuhusu uwezo wake kielimu na knowledge kwa ujumla!
Hivi elimu ya Mbowe ikoje mbali ya kuwa Dj na mwenye SACCOSS.Mbona wako wengi tu ndani ya maccm ikiwemo wewe na master degree yako na Phd.
PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya! | JamiiForums
mwenzako ana paper inasomwa duniani kote wewe mwenzangu una paper ngapiMbona wako wengi tu ndani ya maccm ikiwemo wewe na master degree yako na Phd.
PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya! | JamiiForums
Kwani wewe maganda ya korosho unayajua yana nini ndani yake? Unaelewa organic synthesis from plants. Naomba niambie kwenye maganda ya korosho kuna kemikali gani na kazi yake ni ipi, na ni kwanini international standard organization wanataka tutumie kemikali zinatoka kwenye mimea?Wala usimtetee Magu. PhD yake ya maganda ya korosho ni plagiarism
Mbowe hana vyeti FAKE kama vya huyo anayejiita mwendawazimu masters FAKE Phd FAKE lakini anazungumza Kiswahili fasaha na pia ana uwezo wa kuzungumza popote pale duniani akaeleweka siyo huyo anayeogopa kutoka nje ya Nchi kwa sababu lugha HAIPANDI.
Hivi elimu ya Mbowe ikoje mbali ya kuwa Dj na mwenye SACCOSS.
CASE CLOSED........NILETEENI RASHIDIIIII ,NILETEENI RASHIDI,NILETEEENIIII RASHIDIIIIIIII.Ukisoma historia ya mbunge "Rashid" yaani ni fully maujanja
Kwani umesoma point yangu ukaielewa? Au unakurupuka kama pimbi? Sijabisha content za PhD bali nimesema ni tunda la PLAGIARISM.Kwani wewe maganda ya korosho unayajua yana nini ndani yake? Unaelewa organic synthesis from plants. Naomba niambie kwenye maganda ya korosho kuna kemikali gani na kazi yake ni ipi, na ni kwanini international standard organization wanataka tutumie kemikali zinatoka kwenye mimea?
Mbowe ana Masters!Hi
Hivi elimu ya Mbowe ikoje mbali ya kuwa Dj na mwenye SACCOSS.
Mara nyingi ambao combinations ya Alevel iligoma wengi Div2&3,walikuwa wanachukua halfcomb eg physicsmath (PM)kiswahililangauge (KL) miaka 3 unakuwa mwalimu wa Olevel.mkwawa pekee ndio ilitumia mfumo huu.Mwaka 1993,mafunzo ya diploma yaliamishiwa Arusha sikumbuki chuo gani.Ngoja nikupe taarifa kidogo. Enzi hizo kama unafaulu vizuri form 4 ulikuwa unachukuliwa moja kwa moja kwenda chuo cha ualimu. Hivyo yeye aljfaulu vizuri ndiyo maana alienda moja kwa moja Chuo cha Ualimu huko Iringa na baada ya hapo akaenda kufundisha then UDSM. Zamani wote waliokuwa wanaenda vyuo vya ualimu lazima awe kipanga mkuu!