Asante kwa maelezo yako mkuu. Mwanzo nilijua jiji ni kubwa kuliko mkoa... mkoa ni mkubwa kuliko jiji. Mkoa ni sehemu ya serikali kuu kiutendaji wakati jiji, manispaa, halmashauri ni serikali za mitaa.
Katoa siri ya wizi wa kura. Si unajua Meko kuna wakati zinaruka anajisahau?Hawakuchaguliwa na wananchi ?Hapo sijaelewa. Au kwenye udiwani kuna viti maalum ?Pia Ilala kuwa Jiji sababu ni nini?
Atleast kaongea ukweli. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. [emoji848]'kwanza hawakuchaguliwa na wananchi' Kaanza kutoboa siri
Kama bado kutakuwa na jiji la Dar, hilo jiji la Ilala analolisemea litakuwa Mkuranga au Bagamoyo?Hapana Dar litakuwa Jiji kibiashara na siyo kiutendaji! Alyetia uzi huu hakufafanua sana alivyoeleza Mhe Rais! Litabaki jiji la Dar lakini kihalmashauri hakutakuwa na halmashauri ya Jiji la Dar!
Au nasema uongo ndugu zanguAtleast kaongea ukweli. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. [emoji848]
Na ndo nilivyo elewa mie.Yan akivunja maana yake kutakuwa hakuna dar es salaam.. Au nimeelewaje!!. Badala yake ilala ndo itakuwa jiji kama sasa tunavosema jiji la dar es salaam.. Niko sahihi au.
Hujui kuna madiwani wa viti maalum na wa kuteuliwa?Nimependa hapo hawakuchaguliwa na wananchi.
Uzuri wa huyu Mjomba huwa hanaga siri kabisa.
Si yuko ktk ngwee ya mwisho why asitoe siri, hana cha kupoteza.'kwanza hawakuchaguliwa na wananchi' Kaanza kutoboa siri
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]KhaaaaahKatoa siri ya wizi wa kura. Si unajua Meko kuna wakati zinaruka anajisahau?
Napata tabu kuelewa hii concept... Dar-es-Salaam utabaki kuwa mkoa ambao utakuwa na jiji la Ilala na manispaa za Ubungo, Temeke, Kinondoni na Kigamboni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama kitakuwa na jiji la Dar, hilo jiji la Ilala analolisemea litakuwa Mkuranga au Bagamoyo?
Unafahamu nadharia ya City, kisha Metropolitan Area? Hiyo inaweza kuwa ni mojawapo. Kunakua na Jiji la Ilala kwa mfano, kisha Manispaa za MKOA WA DAR ES SALAAM.Yan akivunja maana yake kutakuwa hakuna dar es salaam.. Au nimeelewaje!!. Badala yake ilala ndo itakuwa jiji kama sasa tunavosema jiji la dar es salaam.. Niko sahihi au.
Maendeleo hayana jijiNapata tabu kuelewa hii concept
Nadhani jamaa akili haziko sawaSi yuko ktk ngwee ya mwisho why asitoe siri, hana cha kupoteza.
... wala usipate tabu, ni concept rahisi sana. Ili uipate vizuri, tuchuke mji ambao jina lake sio jina la mkoa mfano Moshi.Napata tabu kuelewa hii concept