hata marekani trump alibadili vitu kibao ila biden amerudisha... yale yale ya matokeo ya mitihani sekondari kuacha kutolewa ilivyozoeleka A, B, C, D, F badala yake yakatolewa kwa mtindo wa GPA halafu akaja mtawala mwingine akarudisha A, B, C, D, F! Bila kuwa na proper instruments and mechanisms to control, regulate and balance powers za viongozi na mihimili tutapata tabu sana.