Rais Magufuli kuvunja Jiji la Dar es Salaam

hata marekani trump alibadili vitu kibao ila biden amerudisha
 
Mimi nime muelewa yeye amejikita zaidi kwenye halmashauri ya jiji la DSM..lisiwepo manake kwa levo ya halmashauri za majiji kwa DSM ibaki Ilala ndio iwe ha hadhi ya jiji...lengo ni kuondoa hili baraza la mameya wa manispaa wanao unda baraza la jiji la dsm.

#MaendeleoHayanaChama
 
Bora JPM umenena.

Yule mama mkurugenzi wa Jiji Sipora Liana alikuwa matatizo sana, kuingilia sehemu zingine.
 
... wala usipate tabu, ni concept rahisi sana. Ili uipate vizuri, tuchuke mji ambao jina lake sio jina la mkoa mfano Moshi...
Napata taabu Tu kuvunja jiji lite na kuacha ilala

Kuna hadji za majjji na zinalindwa na certain standards

My expectations ni Kwamba tungekomaa kufanya far nzima owe jiji la viwango na sio kuchagua kasehemu madogo Ka dar

Nadhani tutakua tunamiss opportunity ya kuiweka dar kimataifa zaidi
 
Nikubali uzembe na upuuzi? Unadhani kwanini Watanzania hatukumchagua jiwe 2020? Unadhani kwanini jiwe na maccm wanahofia katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi kama wanakubalika na Watanzania walio wengi kwanini wahofie uchaguzi huru na wa haki? TAFAKARI KWA KINA.
Wew hakunaga hata kitu ulichowahi kukikubali kilichofanywa na serikali.
 
Mzee anataka Shato ikawe manispaa soon
 
Nadhani kuna vitu jiwe alipaswa kuviacha kama vilivyo mojawapo ni Dar kuwa Jiji, Tena alipaswa aliongezee eneo kwa kumega mkoa wa pwani na kuiweka Dar ili kuiongezea eneo la wananchi kujenga kuendeeza ukanda huu fasta
Nadhani kuna vitu jiwe alipaswa kuviacha kama vilivyo mojawapo ni Dar kuwa Jiji, Tena alipaswa aliongezee eneo kwa kumega mkoa wa pwani na kuiweka Dar ili kuiongezea eneo la wananchi kujenga kuendeeza ukanda huu fasta
Nadhani kuna vitu jiwe alipaswa kuviacha kama vilivyo mojawapo ni Dar kuwa Jiji, Tena alipaswa aliongezee eneo kwa kumega mkoa wa pwani na kuiweka Dar ili kuiongezea eneo la wananchi kujenga kuendeeza ukanda huu fasta
Angekuwa habani matumizi kwa kubaki nchini mwake Dar es Salaam, Dodoma na Chato, ingekuwa hakuna haja ya kumega Mkoa mwingine ili kuongeza eneo la Dar, angekwenda tu Uholanzi kwa Watalaamu wa kuongeza eneo la nchi yao kwa kusogeza bahari irudi ndani. Hapo Chato kweli ingekuwa Amsterdam!
 
I will be the last person to understand what it means by his statement.
labda Nguruvi3 mtueleweshe concept ya mkoa wa Dsm kuwa jiji na vipi manispaa zake ndio iwe jiji
 
... Dar-es-Salaam utabaki kuwa mkoa ambao utakuwa na jiji la Ilala na manispaa za Ubungo, Temeke, Kinondoni na Kigamboni.
hapana amesema Dsm itabaki kuwa jiji lkn kutakuwa na halmashauri moja tuu ndiyo itakayobeba jiji haalmashauri nyingine zote zitaondolewa hadhi ya jiji
binafsi sijaelewa itafanyikaje
 
Kwa hiyo Kama hakuna mwananchi alimpigia Kura mtu kuwa diwani wa DCC huyo diwani anakosa sifa ipi kias Cha kusutwa kuwa hakuchaguliwa na wananchi?!!
 
Naona amekiri kwa kinywa chake mwenyewe leo kuwa hawakuchaguliwa.
 
Daaah watu mbona wazito kuelewa jaman manispaa zote zilizopo dar zina madiwan na mameya wao,

Ila kulikiwa na halmashauri ya jiji la Dar-es Salaam ambalo lilikiwa linaongozwa na madiwan wateuliwa kutoka katika kila manispaa kat ya madiwan wao na anapatikana meya pia lakin hawa watu hawana sehemu wanayoisimamia zaid ya kuongeza matumizi so concept ya mzee n kupunguza matumizi.

Maana yake kuwa madiwan wa ilala ndo watakuwa wanaongoza jiji na meya wao atakuwa ndo meya wa jiji la dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…