johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Uongozi ni kuonyesha njia siyo kama pale Ufipa kila mtu kambale!Mamlaka kamili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongozi ni kuonyesha njia siyo kama pale Ufipa kila mtu kambale!Mamlaka kamili
CCM vyeo ni vingi!Mimi nasubiri dongo la kufungia mwaka. Ukute atafanya teuzi nyingine on the spot.
How? Kwani walipokopa walikuwa wanategemea kurudisha vipi? Wow, BOT wapewe maelekezo? Kwa faida ya nani? Hao wanunuzi ni wa kutoka wapi?Hali sector ardhi ni tete atoe maelekezo BOT na wadau wabuni njia mbadala, familia zinapoteza makazi na mabenk yanakwama rejesha fedha hakuna wanunuzi.
Yaani kukopa unekopa wwe,na Kama kushindwa kulipa Mkopo umeshindwa wwe kwa uzembe wako,unataka Magufuli akutolee Maelezo! Yaani hata Mkeo akitoka nje ya Ndoa utataka pia Magufuli ndiyo atowe Maelezo kwa Nini wife wako katoka nje ya Ndoa!!Hali sector ardhi ni tete atoe maelekezo BOT na wadau wabuni njia mbadala, familia zinapoteza makazi na mabenk yanakwama rejesha fedha hakuna wanunuzi.
Utafiti huo umeufanyia wapi?Tulipofika sasa
Wafanyabiashara wakubwa wanalalamika
Wafanyakazi wanalalamika
Wafanyabiashara ndogo wanalalamika
Wafanyabiashara wa Kati wanalalamika
Wakulima wanalalamika
Wasiolalamika ni wanasiasa hususani wana ccm pamojaa na kabila la wasukuma
Hilo ni lakoAnamtafutia sababu MKM ije kuwa Yale Yale ENL....tusubiri matamu yaja !!! Anaona anajijenga na soon atakuwa nguvu ndani nje chama na serikali ......DEDz etc ....muda mwalimu mzuri
Iwe live halafu asiongee! Ataanza kulalamika kama kawaida utasikia maadili upigaji lazima agusie lile gari la mil 400 yani ndio itakuwa habari, wakati miaka 5 yote alikuwepo yeye na vitu vyote vimepitia serikali. Watu washachoshwa na kiki na maigizo maisha yanazidi kuwa magumu.Mjiandae kupata Jambo jipya la kujadili kutoka ulimini mwake leo, labda asiongee baada ya kuapishwa.
Kwenye kushindwa kurudisha mikopo kumechangiwa na taasisi za fedha zenyewe kwa asilimia 100How? Kwani walipokopa walikuwa wanategemea kurudisha vipi? Wow, BOT wapewe maelekezo? Kwa faida ya nani? Hao wanunuzi ni wa kutoka wapi?
BTW Serikali ipo Dodoma, sasa lazima bandari salama itatikisika kidogo.
Hivi ni lazima kila Kiapo ( Viapo ) basi viende tu Mubashara Runingani? Kuna mambo irrelevant sana nayaona katika Awamu hii na ni ya Kishamba.Hafla hiyo itafanyika Ikulu , Chamwino jijini Dodoma saa 4 kamili asubuhi.
Tukio litarushwa mubashara TBC, Channel ten na ITV.
Updates;
======
Rais Magufuli ameingia ukumbini na zoezi la kiapo limeanza.
Kiapo kimekamilipa na sasa Naibu waziri wa Utumishi mh Ndejembi anatoa salamu za wizara.
Rais Magufuli ameanza kuhutubia kwa kuwataka viongozi wote kujaza fomu za maadili kwani zimebaki siku saba tu muda wa kisheria kujaza fomu hizo kukamilika.
===
RAIS MAGUFULI: ASHUKU USIRI WA KURUDISHA FOMU KWA NJIA YA MTANDAO
Katika kumuapisha Kamishna wa Maadili, Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi, Rais John Magufuli amesema fomu za maadili zisirudishwe kwa njia ya mtandao
Amesema mtu akirudisha fomu kwa njia ya mtandao na akawepo mtu anayejua ‘passwords’ anaweza kuangalia fomu hizo na kujua siri za mtu husika na kuharibu kwa kuwa wadukuzi wako wengi
Amesema ni muhimu watu kudownload mtandaoni lakini warudishe fomu hizo kwa kuzipeleka tume ya maadili na sio kutumia njia ya mtandao
Amesema njia ya mtandao ni hatari kwa sababu wadukuzi wanaweza kubadili hata viwango vya fedha ambavyo vimeandikwa
Kwa lipi labda?Tanzania bila JPM sasa hivi haiendi. Chuma kipo Ikulu kinawatendea haki walipa kodi wa nchi hii.
Mama zawadi yako bado ipo...inbox plsMimi nasubiri dongo la kufungia mwaka. Ukute atafanya teuzi nyingine on the spot.
Mshamba ni wewe ili za uambiwe maana...usikurupuke ku concludeHivi ni lazima kila Kiapo ( Viapo ) basi viende tu Mubashara Runingani? Kuna mambo irrelevant sana nayaona katika Awamu hii na ni ya Kishamba.
Kisu kimegusa Mfupa.Mshamba ni wewe ili za uambiwe maana...usikurupuke ku conclude
Wanajua walipa kodi...kwani wewe ni mlipa kodi. .maliza kwanza shule utajua baadaeKwa lipi labda?
Sawa lakini umeshajua maana yake....hilo ndio la msingiKisu kimegusa Mfupa.
Wanajua walipa kodi...kwani wewe ni mlipa kodi. .maliza kwanza shule utajua baadae
Tumeambiwa twende likizo siku tatu mpaka tano. Hiyo ni zawadi tosha kwangu.Mama zawadi yako bado ipo...inbox pls
Loh...Lakin ya kwetu Yalikuwa makubaliano mengine kabisaaTumeambiwa twende likizo siku tatu mpaka tano. Hiyo ni zawadi tosha kwangu.