Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi huwa wakati mwingine naingia mashaka,kama idadi ya vichaa haijaongezeka Sana kwa kiwango ambacho bado hatujaweza kutambua.Uongozi ni kuonyesha njia siyo kama pale Ufipa kila mtu kambale!
Limetuchosha kweli .Ndugu Zangu
Tumechelewa Sana
Kumpata Huyu Rais
Mimi Ndugu Zangu Nimejitoa Sadaka Kwaajili Yenu
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Mambo ya spotlight na Kiki😄Hivi ni lazima kila Kiapo ( Viapo ) basi viende tu Mubashara Runingani? Kuna mambo irrelevant sana nayaona katika Awamu hii na ni ya Kishamba.
Ndiyo Ukweli WenyeweLimetuchosha kweli .
MmhTanzania bila JPM sasa hivi haiendi. Chuma kipo Ikulu kinawatendea haki walipa kodi wa nchi hii.