Rais Magufuli leo anamuapisha Kamishna wa Maadili Jaji Mwangesi

Hali sector ardhi ni tete atoe maelekezo BOT na wadau wabuni njia mbadala, familia zinapoteza makazi na mabenk yanakwama rejesha fedha hakuna wanunuzi.
How? Kwani walipokopa walikuwa wanategemea kurudisha vipi? Wow, BOT wapewe maelekezo? Kwa faida ya nani? Hao wanunuzi ni wa kutoka wapi?

BTW Serikali ipo Dodoma, sasa lazima bandari salama itatikisika kidogo.
 
Tulipofika sasa
Wafanyabiashara wakubwa wanalalamika
Wafanyakazi wanalalamika
Wafanyabiashara ndogo wanalalamika
Wafanyabiashara wa Kati wanalalamika
Wakulima wanalalamika
Wasiolalamika ni wanasiasa hususani wana ccm pamojaa na kabila la wasukuma
 
Hali sector ardhi ni tete atoe maelekezo BOT na wadau wabuni njia mbadala, familia zinapoteza makazi na mabenk yanakwama rejesha fedha hakuna wanunuzi.
Yaani kukopa unekopa wwe,na Kama kushindwa kulipa Mkopo umeshindwa wwe kwa uzembe wako,unataka Magufuli akutolee Maelezo! Yaani hata Mkeo akitoka nje ya Ndoa utataka pia Magufuli ndiyo atowe Maelezo kwa Nini wife wako katoka nje ya Ndoa!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Tulipofika sasa
Wafanyabiashara wakubwa wanalalamika
Wafanyakazi wanalalamika
Wafanyabiashara ndogo wanalalamika
Wafanyabiashara wa Kati wanalalamika
Wakulima wanalalamika
Wasiolalamika ni wanasiasa hususani wana ccm pamojaa na kabila la wasukuma
Utafiti huo umeufanyia wapi?
 
Mjiandae kupata Jambo jipya la kujadili kutoka ulimini mwake leo, labda asiongee baada ya kuapishwa.
Iwe live halafu asiongee! Ataanza kulalamika kama kawaida utasikia maadili upigaji lazima agusie lile gari la mil 400 yani ndio itakuwa habari, wakati miaka 5 yote alikuwepo yeye na vitu vyote vimepitia serikali. Watu washachoshwa na kiki na maigizo maisha yanazidi kuwa magumu.
 
How? Kwani walipokopa walikuwa wanategemea kurudisha vipi? Wow, BOT wapewe maelekezo? Kwa faida ya nani? Hao wanunuzi ni wa kutoka wapi?

BTW Serikali ipo Dodoma, sasa lazima bandari salama itatikisika kidogo.
Kwenye kushindwa kurudisha mikopo kumechangiwa na taasisi za fedha zenyewe kwa asilimia 100
Ifike mahala tufuate sheria na taratibu bila shurti
 
Hotuba za kila mwezi ziliishia wapi, au siku hizi kuongea hadi tufanye uteuzi na kuapisha..
 
Hivi ni lazima kila Kiapo ( Viapo ) basi viende tu Mubashara Runingani? Kuna mambo irrelevant sana nayaona katika Awamu hii na ni ya Kishamba.
 
Hivi ni lazima kila Kiapo ( Viapo ) basi viende tu Mubashara Runingani? Kuna mambo irrelevant sana nayaona katika Awamu hii na ni ya Kishamba.
Mshamba ni wewe ili za uambiwe maana...usikurupuke ku conclude
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…