Rais Magufuli leo anamuapisha Kamishna wa Maadili Jaji Mwangesi

Sawa lakini umeshajua maana yake....hilo ndio la msingi
Kupendapenda kwenu Publicity na huyo Bosi Wenu kuna Siku mtakosa vya Kutuonyesha Watanzania mtaomba tuwaone hadi mkiwa mnajisaidia.
 
Jomba maliza shule kwanza...Achana na hizi mambo ingine

Unajua maana ya shule, au ukisikia shule akili yako inakutuma ni primary schools tu? Ingia hapo UDSM watu wanapiga shule na ni waajiriwa na wafanyabishara.
 
Tume hii ya maadili haina meno , tulitaraji iwe na nguvu zaidi ya Takukuru kwa watumishi wa umma. Watumishi wa umma wengi hubadilika kiuchumi na kuwa matajiri gafla rejea ya Makkonda,Mnyetti ...
 
Inatuhusu nini sisi?
 
Jambo jema.
 
Njia rahisi ni kuondoa usiri na fomu zote ziwe wazi kwa jamii. Mtu asiyetaka mambo yake yawekwe wazi asikubali cheo cha uongozi.

Amandla...
 
Huu utafiti ulifanyia wap na watu wanagapi uliwafanyia utafiti ukaja na haya majibu acha kupotosha uma na Watanzania.
Umeufanyika hapahapa Tanzania tatizo tukiuweka wazi wapuudhi Kama wewe walioko madarakani ambao hawapenendi kusikia ukweli
hawachelewi kutufanyia Kama walivyofanya kwa TWAWEZA
 
Njia rahisi ni kuondoa usiri na fomu zote ziwe wazi kwa jamii. Mtu asiyetaka mambo yake yawekwe wazi asikubali cheo cha uongozi.

Amandla...
Sio kila jambo unakuwa unapinga. Kama mnadukua dukua mausuala nyeti ya watu kuna ubaya kuchukua tahadhari?
 
Taarifa hizo ziwekwe wazi ili Kama kiongozi akidanganya wanachi tuishtue sekretarieti
Manake huku mitaani tunaona viongozi wengine wanakuja kukagua mijengo yao usiku kwa kificho inaonyesha kuna taarifa wanaficha
Unakuta kiongozi ameandika ananyumba moja wakati tunajua ana nyumba nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…