Uchaguzi 2020 Rais Magufuli lipa Mafao ya Wastaafu kabla ya Uchaguzi Oktoba 2020


Eti ni kiongozi wa wanyonge huyo,ni utani anafanya.
 
Hata MIRATHI imekuwa tabu kulipwa
 
Masikini Wazee wetu Wastaafu wanaishi kwa dhiki kubwa huku Mafao yao wakizungushwa wakati waliitumikia Nchi hii kwa Uaminifu mkubwa mpaka Wakastaafu.Enyi Viongozi waoneeni huruma Wazee hawa.
Sio huruma ni jasho lao.
 
Hao hawatalipwa kwa kuwa hawana la kumfanya.

Labda kama wangekuwa na uwezo wa kumrushia covid 19 angewaogopa kidogo
 
kwakweli wastaafu hawa wamelitumikia taifa hili kwa uaminifu na uzalendo mkubwa katika hali ngumu za kimaisha wengi wao wakitokea vijijini hebu wapewe stahiki hizo ambazo ni jasho lao

Is Very unfortunate that kuna baadhi yao kwasababu ya kucheleweshwa kwa mafao yao wanakufa kwa msongo wa mawazo hivo kupoteza Haki ya Mafao hayo hivo kuishia kwenye mirathi bila ya wao kufaidi jasho lao!
Inasikitisha sana kwa Utawala huu wa kinazi!
 
Hao hawatalipwa kwa kuwa hawana la kumfanya.

Labda kama wangekuwa na uwezo wa kumrushia covid 19 angewaogopa kidogo

Hicho ni kiburi na jeuri. Rais Magufuli lazima ajue Kuna Mungu aliye Mkuu kuliko Urais wake na huyo Mungu anaweza kumshughulikia Magufuli mpaka atakapolipa mpaka senti ya Mwisho. Mungu hadhihakiwi!
 
Hii nchi imejaa viongozi wakatili sana. Hata kuwalipa wastaafu mafao yao mpaka mtu mmoja ajisikie kweli?

Kama kweli baada ya maisha haya kuna moto, hawa jamaa wote itabidi wageuke kuni za kuwashia huoo moto!
 
Hicho ni kiburi na jeuri. Rais Magufuli lazima ajue Kuna Mungu aliye Mkuu kuliko Urais wake na huyo Mungu anaweza kumshughulikia Magufuli mpaka atakapolipa mpaka senti ya Mwisho. Mungu hadhihakiwi!
Meko hana hofu hiyo
 
Kwakweli swala la wastaafu ni dosari kubwa kwa serikali.
Wanasiasa wanajipendelea wao tu,bunge likivunjwa wabunge wataondoka na zaidi ya mil 200 kwa miaka mitano tu.
Halafu wazee walitumika kwa miaka zaidi ya 30 wanaishia kudhalilika,hata stahiki zao mpaka wapige magoti.

Wastaafu wengi baada ya kustaafu na kukaa zaidi ya mwaka bila kulipwa kiinua mgongo wala pensheni,wanaishia mikononi mwa taasisi za mikopo zakitapeli zinazomilikiwa na hao hao wanasiasa.

Yaani Mzee anapigwa njaa,anaamua akakope mil 1 ili alipe mil 7 siku akilipwa,

Wengine kiinua mgongo chote kimaishia kulioa madeni yenye riba ya mwendo kasi.
 
Nimenunua dream liner kwa cash wakati hata makampuni makubwa ya ndege ya nchi tajiri yanakopa, kumbe kachota mafao ya wastaafu! Kilangila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…