paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Unachopaswa kufanya ni kumnyima kuraAtakuwa ameudhi watu wengi wa CCM kwa hii kauli. Wakome! Hili Bunge la sasa wabunge wote wameupata ubunge kwa ridhaa yake. CCM wakachekelea wakasema Lissu na Chadema wamekomolewa! Ona sasa.. wamemlea wee mpaka sasa hivi amefikia hatua ya kuamua ni nani awe rais na nani asiwe! Na bado. Na hatanii kweli. Atakachofanya ni atam-point mtu anayemtaka kwa kidole na kwenye kura atapenyeza tena kura kama alivyofanya huu uchaguzi. Walifikiri upinzani ndiyo unakomolewa kumbe dawa yao iko jikoni!
Maneno yangu au maneno ya Magufuli?Hayo ni maneno yako bali sio utaratibu wa CCM!
Unaweweseka?Unachopaswa kufanya ni kumnyima kura
Hii nchi ina watu wengi sana wanaofaa kuwa viongozi.hatuna namna mkuu maana nchi wanaipeleka kwa utashi wao na sio kwa mapenzi ya raia.,.
Joe Biden Ana 77, Sasa kwanini jakaya kikwete asigombee Tena kisa anamzidi Magufuli?Kitendo cha Mh Rais kutamka hadharani kuwa mtu yeyote aliyemzidi umri asijidanganye kuomba nafasi hiyo ni kwenda kinyume kabisa na katiba ya Nchi.
Hakuna sehemu katika katiba ya Nchi yetu inayomkataza mtu yeyote kugombea nafasi ya Urais kwa kigezo cha umri mkubwa.
Washauri wa Rais jaribuni kumshauri Bwana Mkubwa kuna kauli akizisema ninaleta mtafaruku mkubwa sana katika jamii.
Alikuwa mbunge na RC fukua archive itakuambia2005-2010 William Lukuvi alikosa Ubunge, hivyo katika muda huo akawa RC wa Dodoma na Dar es Salaam.
Tuweke sawa kumbukumbu zetu
kama angekuwa hazuii watu kugombea, basi kusingekuwa na watu kupitishwa pasipo kupingwa, wapinzani kutiwa vilema, kuuwawa na kutekwa..bora mkoloni mzungu kuliko mkoloni mweusi.Hii nchi ina watu wengi sana wanaofaa kuwa viongozi.
Yeye ni nani aanze kuzuia watu kugombea?
Huyu mzee namkubali sana ila anaboa sometimes
Mbowe atakuwa na miaka mingapi 2025?Afadhali loo
Tanzania tusiwe na marais vikongwe kama Marekani kwa vikongwe akina Trump na BIDEN
Vizee vikongwe bado vinataka urais
kim un jungKwa kuwa hakuna mwenye sifa ya kupeperusha bendera ya chama 2025 nashauri mzee baba aendeleze tu kijiti maana ana sifa zote za kuwa kim un Jung!!
Wewe wasemaKwa hiyo hata Kikwete hakufua dafu pia?
Afu chandimu wapo bize ICC, ccm ishaanza kujiandaa, unafikiri chandimu watashinda kweli?Mara hii wameanza kuongelea urais 2025! CCM kweli wameamua kuitafuna nchi milele liwe jua iwe mvua; hii nchi hawaiachii kwa "vikaratasi". Badala ya kuongelea vitu vya muhimu hususan tume huru ya uchaguzi, Katiba Mpya, etc. wanaanza kutajataja nani anafaa na nani hafai mapema hivi? Kwa mtindo huu, tundelee kuzoea "bao la mkono" miaka mingi ijayo!
[emoji6][emoji6][emoji6]Jamaa anatoa kipondo heavy halafu hapo pembeni kuna kipeperushi kimeandikwa hapa kazi tu![emoji1787]Wewe wasema
Mzee amezingua kwenye hilikama angekuwa hazuii watu kugombea, basi kusingekuwa na watu kupitishwa pasipo kupingwa, wapinzani kutiwa vilema, kuuwawa na kutekwa..bora mkoloni mzungu kuliko mkoloni mweusi.
Jamaa ni mbabe na kwa maneno yake inamaanisha kuwa hao Marais hawachaguliwi na wananchi bali na system. Hivyo kwa wale wanaojiandaa kugombea, hakuna cha bahati bali kuna mpango tayari ......!!Sina hakika kama katiba ya nchi hii ina ukomo wa umri kwenye sifa za kuwa rais wa JMT.
Chochote kinawezekana ikiwemo na Lukuvi kuwa Rais wa JMT.(Ndani au nje ya CCM)😁
What if Magu asiwepo hiyo 2025 yenyewe na "king makers" waliobaki wakawa hawana maoni kama yake?
Michael Chilufya Sata (King Cobra) mwenyewe aliukwaa akiwa 74.