paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Unachopaswa kufanya ni kumnyima kuraAtakuwa ameudhi watu wengi wa CCM kwa hii kauli. Wakome! Hili Bunge la sasa wabunge wote wameupata ubunge kwa ridhaa yake. CCM wakachekelea wakasema Lissu na Chadema wamekomolewa! Ona sasa.. wamemlea wee mpaka sasa hivi amefikia hatua ya kuamua ni nani awe rais na nani asiwe! Na bado. Na hatanii kweli. Atakachofanya ni atam-point mtu anayemtaka kwa kidole na kwenye kura atapenyeza tena kura kama alivyofanya huu uchaguzi. Walifikiri upinzani ndiyo unakomolewa kumbe dawa yao iko jikoni!