Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Rais anachaguliwa na MunguKitendo cha Mh Rais kutamka hadharani kuwa mtu yeyote aliyemzidi umri asijidanganye kuomba nafasi hiyo ni kwenda kinyume kabisa na katiba ya Nchi.
Hakuna sehemu katika katiba ya Nchi yetu inayomkataza mtu yeyote kugombea nafasi ya Urais kwa kigezo cha umri mkubwa.
Washauri wa Rais jaribuni kumshauri Bwana Mkubwa kuna kauli akizisema ninaleta mtafaruku mkubwa sana katika jamii.
Ikiwa Mwinyi Senior alikuwa raisi Zanzibar na baadaye akawa raisi wa Jamuhuri ya Muungano, je haizekani kwa Mwinyi jr?Majaliwa je? Naona wagombea hapo ni Jaffo, January, Mwingulu.
Ongeza wengine
Mzaramo ni ngoma, Yale Yale ya mzee wa msoga, ona dunia yetu ya Tanzania inavyokwenda kwenye maangamizi. Mzaramo anachokiweza ni ngoma haya mengine ni kumsumbuaNatabili SULEIMAN JAFFO TU BE A CCM PRESIDENTIAL CANDIDATE. 2025
Hujui kwamba yy ndie Sheria, katiba.Kitendo cha Mh Rais kutamka hadharani kuwa mtu yeyote aliyemzidi umri asijidanganye kuomba nafasi hiyo ni kwenda kinyume kabisa na katiba ya Nchi.
Hakuna sehemu katika katiba ya Nchi yetu inayomkataza mtu yeyote kugombea nafasi ya Urais kwa kigezo cha umri mkubwa.
Washauri wa Rais jaribuni kumshauri Bwana Mkubwa kuna kauli akizisema ninaleta mtafaruku mkubwa sana katika jamii.
Loh, basi nilidhani alikosa ubunge na kupewa ukuu wa Mkoa.Alikuwa RC na alikuwa mbunge pia. Tangu 1995 Lukuvi hajawahi kosa Ubunge chief. Mimi ni mwanajimbo wake.
Simpendi Mwigulu ila ninaamini ana akili mara 1000 ya huyo mzee wa Chato aliyemuweka mtoto wa dada yake hazina.Mwigulu alivyofurahi baada ya kusikia Rais ajae hawezi kumzidi umri Magu.
Nani alikuwa mbunge wa Isimani?2005-2010 William Lukuvi alikosa Ubunge, hivyo katika muda huo akawa RC wa Dodoma na Dar es Salaam.
Tuweke sawa kumbukumbu zetu
Kitendo cha Mh Rais kutamka hadharani kuwa mtu yeyote aliyemzidi umri asijidanganye kuomba nafasi hiyo ni kwenda kinyume kabisa na katiba ya Nchi.
Hakuna sehemu katika katiba ya Nchi yetu inayomkataza mtu yeyote kugombea nafasi ya Urais kwa kigezo cha umri mkubwa.
Washauri wa Rais jaribuni kumshauri Bwana Mkubwa kuna kauli akizisema ninaleta mtafaruku mkubwa sana katika jamii.
Toka nijitambue kiakili sijaona kiongozi wa nchi anayeifuata hiyo mnayoiita katiba.....ni hiyo hiyo katiba ndo imempa rais mamlaka ya kuikanyaga na kuipondaponda........na kwa type ya "jiwe" tulilonalo madarakani katiba ni utopolo tu kwake..wala hana muda nayoKatiba haina ukomo wa juu wa umri kwa mgombea, labda wabadirishe katiba.
Madikiteita wote wana kauli kama hizoHuyu raisi mteule ni binadamu kama binadamu wengine, ana haki ya kusema hisia zake kama wengine walivyo na haki ya kutoa maoni yao hadharani .
Nilivyyoelewa mm raisi mteule amesema au ametoa maoni yake kwamba mtu yoyote aliyemzidi umri wake asijidanganye kugombea uraisi, hakusema kuwa haruhusiwi kugombea uraisi.
Lakini wana mawazo chanya kuliko akina Mwigulu NchembaAfadhali loo
Tanzania tusiwe na marais vikongwe kama Marekani kwa vikongwe akina Trump na BIDEN
Vizee vikongwe bado vinataka urais
Mungu mmejua kumchezea awamu hiiRais anachaguliwa na Mungu
Kabisa mkuuSiku si nyingi zitaanza kauliza watu wapumbavu eti " hatumtaki raisi mzee" kana kwamba kwenye familia zao hakuna wazee