Rais Magufuli: Lukuvi hawezi kuwa Mgombea urais wa CCM 2025 kwa sababu ana umri mkubwa. Ni fursa ya Vijana

Rais Magufuli: Lukuvi hawezi kuwa Mgombea urais wa CCM 2025 kwa sababu ana umri mkubwa. Ni fursa ya Vijana

Kitendo cha Mh Rais kutamka hadharani kuwa mtu yeyote aliyemzidi umri asijidanganye kuomba nafasi hiyo ni kwenda kinyume kabisa na katiba ya Nchi.

Hakuna sehemu katika katiba ya Nchi yetu inayomkataza mtu yeyote kugombea nafasi ya Urais kwa kigezo cha umri mkubwa.

Washauri wa Rais jaribuni kumshauri Bwana Mkubwa kuna kauli akizisema ninaleta mtafaruku mkubwa sana katika jamii.
Rais anachaguliwa na Mungu
 
Hujui kwamba yy ndie Sheria, katiba.
 
It means CCM waweza kuondolewa na vijana tu,,, nguvu ya vijana mnahitajika kuwaondoa hawa wala keki
 
Alikuwa RC na alikuwa mbunge pia. Tangu 1995 Lukuvi hajawahi kosa Ubunge chief. Mimi ni mwanajimbo wake.
Loh, basi nilidhani alikosa ubunge na kupewa ukuu wa Mkoa.

Asante kwa kuweka sawa kumbukumbu mkuu. 🤝🤝
Pamoja
 
Mwigulu alivyofurahi baada ya kusikia Rais ajae hawezi kumzidi umri Magu.
Simpendi Mwigulu ila ninaamini ana akili mara 1000 ya huyo mzee wa Chato aliyemuweka mtoto wa dada yake hazina.
 
Kitendo cha Mh Rais kutamka hadharani kuwa mtu yeyote aliyemzidi umri asijidanganye kuomba nafasi hiyo ni kwenda kinyume kabisa na katiba ya Nchi.

Hakuna sehemu katika katiba ya Nchi yetu inayomkataza mtu yeyote kugombea nafasi ya Urais kwa kigezo cha umri mkubwa.

Washauri wa Rais jaribuni kumshauri Bwana Mkubwa kuna kauli akizisema ninaleta mtafaruku mkubwa sana katika jamii.

Huyu rais mteule ni binadamu kama binadamu wengine, ana haki ya kusema hisia zake kama wengine walivyo na haki ya kutoa maoni yao hadharani .

Nilivyoelewa mm rais mteule amesema au ametoa maoni yake kwamba mtu yoyote aliyemzidi umri wake asijidanganye kugombea uraisi, hakusema kuwa haruhusiwi kugombea uraisi.
 
Katiba haina ukomo wa juu wa umri kwa mgombea, labda wabadirishe katiba.
Toka nijitambue kiakili sijaona kiongozi wa nchi anayeifuata hiyo mnayoiita katiba.....ni hiyo hiyo katiba ndo imempa rais mamlaka ya kuikanyaga na kuipondaponda........na kwa type ya "jiwe" tulilonalo madarakani katiba ni utopolo tu kwake..wala hana muda nayo
 
Huyu raisi mteule ni binadamu kama binadamu wengine, ana haki ya kusema hisia zake kama wengine walivyo na haki ya kutoa maoni yao hadharani .
Nilivyyoelewa mm raisi mteule amesema au ametoa maoni yake kwamba mtu yoyote aliyemzidi umri wake asijidanganye kugombea uraisi, hakusema kuwa haruhusiwi kugombea uraisi.
Madikiteita wote wana kauli kama hizo
 
Siku si nyingi zitaanza kauliza watu wapumbavu eti " hatumtaki raisi mzee" kana kwamba kwenye familia zao hakuna wazee
 
Back
Top Bottom