Rais Magufuli: Lukuvi hawezi kuwa Mgombea urais wa CCM 2025 kwa sababu ana umri mkubwa. Ni fursa ya Vijana

Maneno ya madikiteita , madikiteita wrote ndiyo kauli zao. Ana dictate!
 
Ni rais kamili chief..uteule ushaisha alipo apishwa
 
CCM hawanaga ubongo hata kidogo,ukiwa CCM akili huamia ma tackle on.
 
Maneno ya madikiteita , madikiteita wrote ndiyo kauli zao. Ana dictate!
Hiyo kauli ni kama Declaration kwamba, huyo mbuzi ashachukua Nafasi ya Mkapa.

Anaamua nani awe Rais nani asiwe. Kikwete hana chake. Lenyewe ndio li-deep state

Kwa wale wenye matumaini na hii nchi hii leo au kesho, wanajiandalia kuwa LOSERS.

Tough times ahead, kama unaweza kupata hata kikazi cha kuosha vikongwe Ulaya sepa.

Mpaka wabongo waje kujitambua na kuanza kupigania nchi yao, siyo leo wala kesho na hilo genge litakuwa limeshakita Mizizi mizito.

Maana Mbongo mpe Chakula akishiba mpe Pombe, ukiweza kumpa na demu umemaliza, unamfanya Mateka akiwa hajielewi anakuabudu kuliko Mungu
 
Mh Lukuvi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muelewe tu mzee hakuna namna
 
Hii siyo sawa, anataka kuminya haki za watu za kuchaguliwa.

Katiba haijasema Rais lazima awe na umri mdogo kuliko Magufuli!

Sisi Watanzania tunahitaji raisi anayetufaa, umri siyo ishu na hatupangiwi na Magufuli umri wa mtu anayetufaa kuwa raisi isipokuwa katiba ya nchi tu!
 
Alipoomba urais kundi kubwa la vijana lilikuwa asilimia ngapi? Tunapata rais wa nchi kwa legal processes na uwezo wa mtu kiutawala

Ujana tu hauwezi kuwa qualifications - anyway remain silent huenda nikawa mimi
 
Asante sana kwa marekebisho.
Kifupi, ninamkubali sana JPM. Ninachojaribu kusema hapa ni kwamba hakuna binadamu asiye na mapungufu. Pia hata kama ni raisi ana haki ya kutoa maoni yake.
Ni mropokaji mdomo hauna breki kama dokta fumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…