Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwana bwana wee...huyo jamaa si kiswahili wala si kiingereza vyote chenga tu kwake [emoji23][emoji23]Why I'm reading this in his voice [emoji1][emoji1][emoji1]
Huyu ni dikteta hafati katiba anawaandaa watoto wa dadake Akina Dotto na Kheri James
Kwa kigezo cha ujana
Mmh..Dr. Hussein Mwinyi kuna kila chance atakuwa the next president of JMT baada ya JPM.
Ni rais kamili chief..uteule ushaisha alipo apishwaHuyu raisi mteule ni binadamu kama binadamu wengine, ana haki ya kusema hisia zake kama wengine walivyo na haki ya kutoa maoni yao hadharani .
Nilivyoelewa mm raisi mteule amesema au ametoa maoni yake kwamba mtu yoyote aliyemzidi umri wake asijidanganye kugombea uraisi, hakusema kuwa haruhusiwi kugombea uraisi.
Hukumsikia waziri mkuu alivyosema kuhusu cement ??Ni ujinga kuongelea urais sasa hivi badala ya kuongelea bei ya cement
CCM hawanaga ubongo hata kidogo,ukiwa CCM akili huamia ma tackle on.Mara hii wameanza kuongelea urais 2025! CCM kweli wameamua kuitafuna nchi milele liwe jua iwe mvua; hii nchi hawaiachii kwa "vikaratasi". Badala ya kuongelea vitu vya muhimu hususan tume huru ya uchaguzi, Katiba Mpya, etc. wanaanza kutajataja nani anafaa na nani hafai mapema hivi? Kwa mtindo huu, tundelee kuzoea "bao la mkono" miaka mingi ijayo!
Hiyo kauli ni kama Declaration kwamba, huyo mbuzi ashachukua Nafasi ya Mkapa.Maneno ya madikiteita , madikiteita wrote ndiyo kauli zao. Ana dictate!
Mh Lukuvi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muelewe tu mzee hakuna namnaKitendo cha Mh Rais kutamka hadharani kuwa mtu yeyote aliyemzidi umri asijidanganye kuomba nafasi hiyo ni kwenda kinyume kabisa na katiba ya Nchi.
Hakuna sehemu katika katiba ya Nchi yetu inayomkataza mtu yeyote kugombea nafasi ya Urais kwa kigezo cha umri mkubwa.
Washauri wa Rais jaribuni kumshauri Bwana Mkubwa kuna kauli akizisema ninaleta mtafaruku mkubwa sana katika jamii.
Mwigulu mtoe hapo,alishajiharibia siku nyingi
Asante sana kwa marekebisho.Ni rais kamili chief..uteule ushaisha alipo apishwa
Namuongelea huyu dikteta ,PM nimemsikia mkuuHukumsikia waziri mkuu alivyosema kuhusu cement ??
Ni mropokaji mdomo hauna breki kama dokta fumbukaAsante sana kwa marekebisho.
Kifupi, ninamkubali sana JPM. Ninachojaribu kusema hapa ni kwamba hakuna binadamu asiye na mapungufu. Pia hata kama ni raisi ana haki ya kutoa maoni yake.