Optimistic_
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 2,347
- 1,850
Anaamini kua corona ipo na amekiri kabisa, sababu ya kupima mapapai, fenesi, mbuzi , kondoo n.k ni kujiridhisha ukweli wa majibu kutoka katika hivyo vifaa vya kupimia.
Kwahiyo ni ajabu papai kuwa na corona, ila kitasa, sakafu, nguo, paka, petty sio ajabu?Aliekwambia corona inapimwa kwa damu ni nani aisee, umekariri mno maisha.
Corona inapimwa kwa kuingizwa kifaa mfano wa kijiti kirefu kwa njia ya puani...kinaingizwa mpaka kinagusa kuta na kwenye koo ndani kabisa...alafu kinazungushwa zungushwa kukusanya ule tuseme ute kwa lugha nyepes alafu ndio hiyo sample inakwenda kupimwa maabara....hakuna cha damu wala nini...ndio maana imewezekana kuchukua fenesi,papai,mbuzi nk na ikaweza kufanana na sample ya binadamu.
Tuwe na maambukizi mengi mara ngapi?Ninajiuliza kuwa tungekuwa na maaambukizi mengi Kama kenya Au Africa kusini Au zile nchi za ulaya ingekuaje?
Ishu ni wewe kuogopa kuchekwa na wakenya?Hili la Mkuu wa nchi kupima Mbuzi na mapapai badala ya kupima watu, imetudhalilisha sisi Kama watanzania nimeona kule Kenya wameanza kutucheka na kutudhalilisha wakiandika kuwa kenya twapima binadamu Tanzania wao wapima mbuzi na mapapai, aiseee tumeanza kuchekwa Kama watoto wadogo, wakuuu hiii kitu imeshangaza Sana inamaana Mkuu wa nchi haaamini kuwa corona ipo?
Ninajiuliza kuwa tungekuwa na maaambukizi mengi Kama kenya Au Africa kusini Au zile nchi za ulaya ingekuaje? Ninasikitika Sana na kauli Kama hiii Ya mtu msomi kuhisi kuwa corona ni uongo huku anarudi kusema kuwa corona kweli ipo tuchukue hatua, sasa Mimi sielewi huku unasema kuwa corona kweli ipo huku unasema kuwa mabeberu wanatumika huku hao hao mabeberu unafaham kuwa ndio wenye idadi kubwa ya wagonjwa wa corona had majirani zako wako Juu kwa maaambukizi inamaaana wanakubeberu Halafu kwao wanaongeza Namba kwako wanakushusha? Vipimo huviamini Wakati ndivyo vinavyopima kwao huko? Hivi ikitokea huyu akawa na maamabukizi Kama nchi zingne si ndio atatembea akiimba kuwa ameletewa corona? Haki ya MUNGU huyu Mkuu amedhalilisha nchi na kila Siku analete mambo ya hovyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaahhaaaaaaaaaaa. Wafugaji ni wafugaji tuuu, corona ipo mpaka kwenye mbuzi, mabeberu, kondoo, nk. Walah kipindi hiki tunae mtu wa ajabu, jamani tusirudie kosa hili.Ni hatari sana, tuna kiongozi ambaye nadhani anaishi akijisemea "...pumbavu tu haya, yatanifanya nini..."
Usingekuwa binti tungekupasha! Zungusha ubongo wakoHili la Mkuu wa nchi kupima Mbuzi na mapapai badala ya kupima watu, imetudhalilisha sisi Kama watanzania nimeona kule Kenya wameanza kutucheka na kutudhalilisha wakiandika kuwa kenya twapima binadamu Tanzania wao wapima mbuzi na mapapai, aiseee tumeanza kuchekwa Kama watoto wadogo, wakuuu hiii kitu imeshangaza Sana inamaana Mkuu wa nchi haaamini kuwa corona ipo?
Ninajiuliza kuwa tungekuwa na maaambukizi mengi Kama kenya Au Africa kusini Au zile nchi za ulaya ingekuaje? Ninasikitika Sana na kauli Kama hiii Ya mtu msomi kuhisi kuwa corona ni uongo huku anarudi kusema kuwa corona kweli ipo tuchukue hatua, sasa Mimi sielewi huku unasema kuwa corona kweli ipo huku unasema kuwa mabeberu wanatumika huku hao hao mabeberu unafaham kuwa ndio wenye idadi kubwa ya wagonjwa wa corona had majirani zako wako Juu kwa maaambukizi inamaaana wanakubeberu Halafu kwao wanaongeza Namba kwako wanakushusha? Vipimo huviamini Wakati ndivyo vinavyopima kwao huko? Hivi ikitokea huyu akawa na maamabukizi Kama nchi zingne si ndio atatembea akiimba kuwa ameletewa corona? Haki ya MUNGU huyu Mkuu amedhalilisha nchi na kila Siku analete mambo ya hovyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Muongozo unasemaje kuhusiana na hizi kits za kupimia Covid19 hasa pale zinapotumika kupima sampuli ambayo siyo ya binadamu?Ameyasema hayo leo wakati wa kumuapisha Waziri wa Sheria na katiba kuwa vyombo vya usalama vilipenyeza sampuli kutoka kwenye mananasi, mafenesi, mbuzi, kondoo, nk kwa siri na kuzifanya ni za binadamu. Jambo la kushangaza matokeo ya baadhi ya sampuli hizo au yalionyesha yana maambukizi ya corona.
"...tunawasiliana na Madagascar na wamehaidi kututumia dawa inayotibu covid 19...." JPM
Mambo ni mengi ngoja niweke clip ya video!
Chanzo ITV....
Duuuh! sasa mananasi na mafenesi yana damu au hizo sampuli zake zilipenyezwa vipi ina maana hao waliokuwa wakipima walikuwa hawaoni na hawajui kuwa hizi sampuli siyo za binadamu jamani??
This dude seem to be so naive and ignorant!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe maabara za Tanzania unaweza peleka mafenesi ukawadanganya ni sample ya damu wakakubali.