Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji848][emoji848][emoji12]Yaani mnapima mbuzi na kondoo badala ya kuboresha huduma za afya na mass testingNasikia walipeleka sample za mapapai maabara ya taifa zikaonekana zina corona haahaaaa
Daaah hii nchi raha sana, yaan kila kona comedy
This guy is idiot! The most dumbest president in the world.Hili la Mkuu wa nchi kupima Mbuzi na mapapai badala ya kupima watu, imetudhalilisha sisi Kama watanzania nimeona kule Kenya wameanza kutucheka na kutudhalilisha wakiandika kuwa kenya twapima binadamu Tanzania wao wapima mbuzi na mapapai, aiseee tumeanza kuchekwa Kama watoto wadogo, wakuuu hiii kitu imeshangaza Sana inamaana Mkuu wa nchi haaamini kuwa corona ipo?
Ninajiuliza kuwa tungekuwa na maaambukizi mengi Kama kenya Au Africa kusini Au zile nchi za ulaya ingekuaje? Ninasikitika Sana na kauli Kama hiii Ya mtu msomi kuhisi kuwa corona ni uongo huku anarudi kusema kuwa corona kweli ipo tuchukue hatua, sasa Mimi sielewi huku unasema kuwa corona kweli ipo huku unasema kuwa mabeberu wanatumika huku hao hao mabeberu unafaham kuwa ndio wenye idadi kubwa ya wagonjwa wa corona had majirani zako wako Juu kwa maaambukizi inamaaana wanakubeberu Halafu kwao wanaongeza Namba kwako wanakushusha?
Vipimo huviamini Wakati ndivyo vinavyopima kwao huko? Hivi ikitokea huyu akawa na maamabukizi Kama nchi zingne si ndio atatembea akiimba kuwa ameletewa corona? Haki ya MUNGU huyu Mkuu amedhalilisha nchi na kila Siku analete mambo ya hovyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Science is everything guysMwambie achague kuua uchumi ili aokoe watu.
Izi porojo porojo zake kwa sasa hazina maana yoyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
COVID-19 ni really.. Watu wanaambukizwa kila uchwao, watu wanakufa kila uchwao.
Anajaribu kuwambia nn wananchi kwa kauli zake kama hizi??
Haya makauli ndio yamefanya Watu waache kwenda Hosp, wengine kutoroka, sababu ya maujinga kama haya.
Ni kama vile, Corona ni mradi nakwamba haipo ???.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais yuko sawa ila wewe ndiye unayepaswa kupima afya yako ya akili
Ndio maana vipimo vya Elisa Test kwa HIV viliondolewa.Anaamini kua corona ipo na amekiri kabisa, sababu ya kupima mapapai, fenesi, mbuzi , kondoo n.k ni kujiridhisha ukweli wa majibu kutoka katika hivyo vifaa vya kupimia.
Mwambie achague kuua uchumi ili aokoe watu.
Izi porojo porojo zake kwa sasa hazina maana yoyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tope limejaa kichwan kwako.Kwa hiyo akitoroka hospitali huko nje anaenda kutibiwa na bibi yako? Umeambiwa corona haina dawa sasa huko abaki wakati anaona hakuna tiba si ni bora akajaribu mizimu yake kuliko kusubili kitu ambacho hakipo.
ONDOA POROJO ZAKO WEWE NDIO BEBERU MKUBWA HUWEZI KUELEWA.Nashangaa anawalaumu waliokuwa wanapima kule maabara ya kitaifa kuwa wanamhujumu, kwa kutoa matokeo positive Ya corona, anadai kuwa walionekana ni positive ni uongo, eti alipeleka sample Ya Mbuzi, papai, na vitunguu eti wale watu Wa maaabara ya taifa walimuhujumu, eti na hizo sample hao wa maaabara Walisema ni positive aiseee anaone kuwa hakuna corona anasema hata ligi ya mpira atairuhusu iendelee aisee huyu mzeee akishindwa Jambo anasingizia mabeberu na kuwa anazungukwa, yani hahahahaha, Halafu nashangaaa anaenda anasema corona kweli ipo halafu anasema vipimo ni vya uongo watu waliokuwa wanapima wachunguzwe yani mmmmh simwelewi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio manake.Anaamini kua corona ipo na amekiri kabisa, sababu ya kupima mapapai, fenesi, mbuzi , kondoo n.k ni kujiridhisha ukweli wa majibu kutoka katika hivyo vifaa vya kupimia.
Pole ndugu ulipitia wakati mgumu sana. Ulofa mubaya sana ungefikia gesti yasingekukutaIla nyie watu wakatili wa nafsi aiseee...
Kuangalia tuu TBC inahitaji roho ngumu,
Sasa kumwangalia Huyo jamaa TBC inahitaji uwe bandidu na nusu.
Nilienda ugenini, wanaangalia TBC mda wote, Maisha yangu ile jioni yalikua magumu sanaaa, nje kuna mvua, chumbn hakwendeki maana unasubr mwongozo wa wenyeji, kuvaa earphones utaonekana wa ajabu, kuchezea simu mda wote nako hakuleti picha nzuri,
Nilitamani nianze kumchezea paka, bahat nzuri mtoto akaja akawa ananiongelesha.
Mzee mwenye nyumb anashangilia kila kitu, half anakuongelesha u comment...
Nilijitahd kuonesha unafk wa hali ya juu ile siku huku unajichekesha la sivyo naharibu hata kilichonipeleka, mpk nikahisi ana ni challenge kuona how deep i can handle pressure
Baadae Mwanaye akanipa pole maana alijua ninavyoteseka.
Ila asikwambie mtu unafk wa nafsi yako unachoma moyoo aisee, naondoka huku najishangaa, hv kweli n mm wa kumshangilia yule jamaa...
Nilitamani nikatubu.
Na huwezi ukanishangaa,
Maana haya sasa wewe umesikiliza, ulichoambulia ndio hicho, umefurahia?