Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Nahodha aogopi maji lakin ataki kurudi chomboni,nahodha toka mafichoni rudi chomboni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinacho pelekwa maabara si nanasi wala fenesi, kinachopelekwa ni unyevunyevu/ umajimaji si tunda wala mnyama mzimamzima.Ila bado nayafakari sipati majibu mh kasema walipeleka sample za mapapai na kondoo mbuzi etc bila wao kujua wataamu wamahabara!hivi kweli qualified laboratory technician washindwe ku distinguishe kati ya sample ya fenesi na binadamu kweli !
!wanafanya nini hapo maabara mpaka sasa kama ni kweli maana watatua sasa hao ndo best lab wetu wanchi kumbuka tumewapeleka training na kuwakabidhi roho za watanzania 55m
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapapai yanayo korona? Ay, so I fear. The more is my unrest. Tumekwisha!Nasikia walipeleka sample za mapapai maabara ya taifa zikaonekana zina corona .
Kuna labaratory technician mmoja,wilaya fulani alitestiwa hivyo hivyo,wakapeleka maji ya ukwaju Kama sample,,jibu likaja,,"mama mwanao Ana UTI Kali Sana"Anatumia stori za vijiweni za majani ya chai kukutwa na UTI kuhalalisha ujinga wake.
Kama Corona haipo, mbona hataki kuja Dar ?
Sijakata ila kama wewe ni Eng huwezi kutofautisha sample ya choka na cement hata kama utaletwa maji maji yaka?Kinacho pelekwa maabara si nanasi wala fenesi, kinachopelekwa ni unyevunyevu/ umajimaji si tunda wala mnyama mzimamzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
huko kwingine hawajapima mapapaiMmmh, huyu mzee ana uhakika lakini? Mbona hatujasikia sehemu nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee"“Oil ya gari tuliipa jina Jabir Hamza miaka 30 ikawa Negative, Fenesi tuliita Sarah Samwel, Papai tulilipa jina la Elizabeth Anne mwenye miaka 26 likakutwa lina corona, kware Positive, mbuzi positive, kondoo negative, maana yake Mapapai yote yapelekwe karantini!?, ajabu hii”-JPM millardayo on Twitter
huko kwingine hawajapima mapapaiMmmh, huyu mzee ana uhakika lakini? Mbona hatujasikia sehemu nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe maabara za Tanzania unaweza peleka mafenesi ukawadanganya ni sample ya damu wakakubali.
Asantee,Pole ndugu ulipitia wakati mgumu sana. Ulofa mubaya sana ungefikia gesti yasingekukuta
[emoji2][emoji2][emoji2]Ndugu zangu lazima tuwe na uhakika na vitu tunavyofanya.
Huwezi ukasema papai linakorona.
Wakati si kweli.
Huu ni mtihani maabara ya taifa wamepewa na wamefeli.
Hawata aminika tena.
Allah kariim
Moderator msifute huu uzi mbona ni wa kawaida kabisa kwa nini mnaufuta?
Wana bodi Kama heading inavosema naomba kujua hili kutoka kwa wataalamu wa afya hizi sample za majiji ya Kooni zinazochukuliwa kwa binadamu kwa ajili ya kufanyiwa testing ya COVID-19 zinafanana na sample za majimaji ya Vitunguu,fenesi na mapapai?
na nikivipi tuhangaike kupima mapapai wakati dunia nzima wanahangaika kufanya mass testing na kuboresha huduma za afya?
Je ni kwamba habari za Corona Tanzania ni uongo?
Chukua hatua Corona ipo jilinde na uwalinde uwapandae.
Parabora
Geneva - Swistsland
2020
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni rahisi kutengeneza sample inayofanana na damu kwa muonekano. Kuna food colors nyingi hivyo unaweza kuchukua sample solution yako ya nanasi halafu una add artificial food colours then si rahisi mtu kiustukia. Ila wasiwasi wangu ni kuwa inawezekana mtengeneza hizo sample nae ni muathirika so anaweza kuzi-contaminates. Lakini hii itakuwa possible tu kama vipimo vinapima directly the virus. Ingawa vipimo Vingi vya virus huwa wanàngalia presence of the antibodies against a particular virus.Sasa mapapai unapeleka sample gani. Au mapapai yana damu?
Ingekuwa ni nchi huru, Maabara ya Taifa wangejibu, lakini kwasababu nchi ilivyo tunapata taarifa za upande mmoja.Ndugu zangu lazima tuwe na uhakika na vitu tunavyofanya.
Huwezi ukasema papai linakorona.
Wakati si kweli.
Huu ni mtihani maabara ya taifa wamepewa na wamefeli.
Hawata aminika tena.
Allah kariim