Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Nahodha aogopi maji lakin ataki kurudi chomboni,nahodha toka mafichoni rudi chomboni
 
"“Oil ya gari tuliipa jina Jabir Hamza miaka 30 ikawa Negative, Fenesi tuliita Sarah Samwel, Papai tulilipa jina la Elizabeth Anne mwenye miaka 26 likakutwa lina corona, kware Positive, mbuzi positive, kondoo negative, maana yake Mapapai yote yapelekwe karantini!?, ajabu hii”-JPM millardayo on Twitter
 
Kufata dawa Madagascar nakubaliana nae hii itamjengea Sana point,tuipeleke dream liner ikafate mzigo
 
Ila bado nayafakari sipati majibu mh kasema walipeleka sample za mapapai na kondoo mbuzi etc bila wao kujua wataamu wamahabara!hivi kweli qualified laboratory technician washindwe ku distinguishe kati ya sample ya fenesi na binadamu kweli !

!wanafanya nini hapo maabara mpaka sasa kama ni kweli maana watatua sasa hao ndo best lab wetu wanchi kumbuka tumewapeleka training na kuwakabidhi roho za watanzania 55m

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinacho pelekwa maabara si nanasi wala fenesi, kinachopelekwa ni unyevunyevu/ umajimaji si tunda wala mnyama mzimamzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anatumia stori za vijiweni za majani ya chai kukutwa na UTI kuhalalisha ujinga wake.

Kama Corona haipo, mbona hataki kuja Dar ?
Kuna labaratory technician mmoja,wilaya fulani alitestiwa hivyo hivyo,wakapeleka maji ya ukwaju Kama sample,,jibu likaja,,"mama mwanao Ana UTI Kali Sana"
Jamaa alifutwa kazi,
Watu wengi tu hubambikwa Typhod fake na baadhi Hawa watumishi wa maabara,
Kwa hiyo Hilo linawezekana,either Kuna uzembe ama vipimio vina matatizo
 
"“Oil ya gari tuliipa jina Jabir Hamza miaka 30 ikawa Negative, Fenesi tuliita Sarah Samwel, Papai tulilipa jina la Elizabeth Anne mwenye miaka 26 likakutwa lina corona, kware Positive, mbuzi positive, kondoo negative, maana yake Mapapai yote yapelekwe karantini!?, ajabu hii”-JPM millardayo on Twitter
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_20200503-113718_Twitter.jpg


Kwanza tujiulize beberu ni Nani aliyekuwa akiongelewa hapa na Rais Magufuli. Sikutegemea hii kauli kutoka kwenye Kinywa cha head of a developing country.

Mdomo unaponza.

Baadhi ya mawaziri wametaja hili Neno mabeberu mara kwa mara wengi tulidhani wamepitiwa tu kumbe mpaka mkuu wa nchi analitumia!

Lets hope Beberu hapa aliyekuwa anamaanishwa sio binadamu ni myama. Maana huwezi muita mwanadamu mwezako beberu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vitu Kama umekaa ki siasa huwez kuelewa hata kidogo
Moderator msifute huu uzi mbona ni wa kawaida kabisa kwa nini mnaufuta?

Wana bodi Kama heading inavosema naomba kujua hili kutoka kwa wataalamu wa afya hizi sample za majiji ya Kooni zinazochukuliwa kwa binadamu kwa ajili ya kufanyiwa testing ya COVID-19 zinafanana na sample za majimaji ya Vitunguu,fenesi na mapapai?

na nikivipi tuhangaike kupima mapapai wakati dunia nzima wanahangaika kufanya mass testing na kuboresha huduma za afya?

Je ni kwamba habari za Corona Tanzania ni uongo?

Chukua hatua Corona ipo jilinde na uwalinde uwapandae.

Parabora
Geneva - Swistsland
2020

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mapapai unapeleka sample gani. Au mapapai yana damu?
Ni rahisi kutengeneza sample inayofanana na damu kwa muonekano. Kuna food colors nyingi hivyo unaweza kuchukua sample solution yako ya nanasi halafu una add artificial food colours then si rahisi mtu kiustukia. Ila wasiwasi wangu ni kuwa inawezekana mtengeneza hizo sample nae ni muathirika so anaweza kuzi-contaminates. Lakini hii itakuwa possible tu kama vipimo vinapima directly the virus. Ingawa vipimo Vingi vya virus huwa wanàngalia presence of the antibodies against a particular virus.
 
Ndugu zangu lazima tuwe na uhakika na vitu tunavyofanya.
Huwezi ukasema papai linakorona.
Wakati si kweli.
Huu ni mtihani maabara ya taifa wamepewa na wamefeli.
Hawata aminika tena.

Allah kariim
Ingekuwa ni nchi huru, Maabara ya Taifa wangejibu, lakini kwasababu nchi ilivyo tunapata taarifa za upande mmoja.
 
Back
Top Bottom