Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa watu ni wapumbavu wa hali ya juu mkuu wanafikiri kuwa profesa mchezo kila kitu wanapinga tu ajabu saanaMkuu ilikuwa inachukuliwa "swab" kama unaangalia tv za wenzetu utaona wanawapitisha kijiti chenye pamba puani! kwahiyo hawapeleki damu mkuu!
Ficha upumbafu wako,sasa hapo umeandika nini?Stupid, you're more than an embicile,
Get time to read , so stupid in deed
Umeambiwa sample zilipewa majina then unaleta u pupu wako hapa
Mjinga mkubwa wewe na genge lako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujamwelewa alichomaanaisha, yeye amegundua kuwa kumbe bunge linaendeshwa na magufuli sio spika ndio kilichooonekana, maana yake magufuli amejichanganya katamka ile ni kosa la kikatiba na anaweza kushitakiwa kuwa anaongoza mhimili ile kauli ni ushahid tosha unaweza kutumika popoteYupo sahihi,kwani wana ruhusa ya Spika? Atawalipa Mwenyekiti wao,kila kitu/sehemu kuna utaratibu na ni lazima ufuatwe.
macson
Kabisa watu wwnazngua wanataka kuendelea kusikia habar za kina mange,kigogo na kina mdudeEither vipimo Ni defective au wataalamu hawana uzoefu ama Kuna uzembe.
Hili la vipimo kuwa defective limetokea nchi mbalimbali na Kuna vipimo ilibidi viwekwe pembeni,
Kwahiyo mheshimiwa Yuko sawa kabisa watu tu ndo wazito kuadopt ukweli,
Hajasema korona haipo
embu tulieni huko tusubiri dawa za madagascarMwambie achague kuua uchumi ili aokoe watu.
Izi porojo porojo zake kwa sasa hazina maana yoyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau aliwahi kuongea kwa simu na marehemu Abdalah Kigoda akiwa mgonjwa chumba cha ICU hospitalini India?Yani huyu ukimfuata ujue utakufa na yeye anaweza kutangaza kuwa hujafa ila umejifanyiza kufa.
Umesahau aliwahi kuongea kwa simu na marehemu Abdalah Kigoda akiwa mgonjwa chumba cha ICU hospitalini India?
Unategemea nn hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikua ni katika kuangalia accuracy na competency ya maabaraNa ni kivipi tuhangaike kupima mapapai wakati dunia nzima wanahangaika kufanya mass testing na kuboresha huduma za afya?