Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Mlamba miguu wa JPM una kazi sana!Tuwashukuru Tiss kwa kuhakikisha Nchi ipo salama
Asante Magufuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlamba miguu wa JPM una kazi sana!Tuwashukuru Tiss kwa kuhakikisha Nchi ipo salama
Asante Magufuli
Mkuu ilikuwa inachukuliwa "swab" kama unaangalia tv za wenzetu utaona wanawapitisha kijiti chenye pamba puani! kwahiyo hawapeleki damu mkuu!
we si team lumumba [emoji23][emoji23]This guy is idiot! The most dumbest president in the world.
Sasa mapapai unapeleka sample gani. Au mapapai yana damu?
Ndo maana yake. Sasa kuhusu vifo vinavyotokea kila siku sjui ana lipi la kusema
"Either vipimo Ni defective au wataalamu hawana uzoefu ama Kuna uzembe.Nasikia walipeleka sample za mapapai maabara ya taifa zikaonekana zina corona haahaaaa
Daaah hii nchi raha sana, yaan kila kona comedy
Ila hajasema hivyo ameweka hoja takafakarishi
Si uhame unateseka na nini sasaIngekuwa ni nchi huru, Maabara ya Taifa wangejibu, lakini kwasababu nchi ilivyo tunapata taarifa za upande mmoja.
Wanatumiwa na mabeberu.Mabeberu hawajawahi kukasrika kuitwa hivyo
Ila nyie Chadema mnawatetea Mabeberu bila shaka mmnamatatizo makubwa
Kwani hivi vipimo Tz tu ndio haviko sahihi?Hata kupima hao wengi ni ujinga kama vipimo haviko sahihi
Mabeberu hawa hawa dawa ikipatikana tutasubr watuleteee kweli kaz tunayo and fore sure i really mic JKWakija na ndege zao wamevaa suti anawaita wanaume. Usimuamini sana Rais wetu.
Duuuh! sasa mananasi na mafenesi yana damu au hizo sampuli zake zilipenyezwa vipi ina maana hao waliokuwa wakipima walikuwa hawaoni na hawajui kuwa hizi sampuli siyo za binadamu jamani??
This dude seem to be so naive and ignorant!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Big BrainTatizo la watanzania au Africa tunapenda kupinga kila kitu tunapenda kumyattack mtu kuliko kitu " hicho alichosema president na watu wa usalama n mtihan kwa watu wa maabara aliowapa ili kujua n kweli au lah na hii ndo tabia yake ya kufanya personal investigation bila kujua rejea alipokuwa waziri jinsi alivyokuwa anawatokea watu wa mizani au Kule kwenye barabara jinsi alivyokuwa anakusanya taarifa halisi na kuja kuwasuprise wahusika"
Njoo kwenye swala la kumuondoa mganga mkuu wa serikali pia yule mama aliemtibu DODOMA baada ya kupewa sumu kamtoa katibu afya na kumpeleka sijui wap huko na Kama anavyosemaga ukiona amekubadilisha position kipindi muda huo ofisi yako ndo inakuhitaj Basi ujue Kuna shida pahala.
Mie napambana na maneno ya JPM inawezekana Kuna watu wameamua kuizoea Kaz Yan wanarahisisha Mambo muda uende, sikatai hili tatizo Kama halipo lakin mamlaka za vipimo huenda hazipo makini kwa watumushi/vifaa kulingana na maelezo ya JPM.
Tujifunze kuattack sms nasio mtu binafsi " Jilinde uwalinde wengine Chukua tahadhari kwa umakini uwe salama.
Hapa anaiambia nini dunia mkuu?Ilikua ni katika kuangalia accuracy na competency ya maabara