Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Mkuu ilikuwa inachukuliwa "swab" kama unaangalia tv za wenzetu utaona wanawapitisha kijiti chenye pamba puani! kwahiyo hawapeleki damu mkuu!

Bado hujajibu swali la member...

Puani si wanatoka na mucus au chembe za damu... Kwa mapapai je inakuaje?

Cc: mahondaw
 
Sehemu ya kupima ipo moja nchi nzima, je hiyo known Sample ya Positive na negative zingejulikana vipi?
 
Nasikia walipeleka sample za mapapai maabara ya taifa zikaonekana zina corona haahaaaa

Daaah hii nchi raha sana, yaan kila kona comedy
"Either vipimo Ni defective au wataalamu hawana uzoefu ama Kuna uzembe.
Hili la vipimo kuwa defective limetokea nchi mbalimbali na Kuna vipimo ilibidi viwekwe pembeni,
Kwahiyo mheshimiwa Yuko sawa kabisa watu tu ndo wazito kuadopt ukweli,
Hajasema korona haipo"

Copy and paste

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la watanzania au Africa tunapenda kupinga kila kitu tunapenda kumyattack mtu kuliko kitu " hicho alichosema president na watu wa usalama n mtihan kwa watu wa maabara aliowapa ili kujua n kweli au lah na hii ndo tabia yake ya kufanya personal investigation bila kujua rejea alipokuwa waziri jinsi alivyokuwa anawatokea watu wa mizani au Kule kwenye barabara jinsi alivyokuwa anakusanya taarifa halisi na kuja kuwasuprise wahusika"

Njoo kwenye swala la kumuondoa mganga mkuu wa serikali pia yule mama aliemtibu DODOMA baada ya kupewa sumu kamtoa katibu afya na kumpeleka sijui wap huko na Kama anavyosemaga ukiona amekubadilisha position kipindi muda huo ofisi yako ndo inakuhitaj Basi ujue Kuna shida pahala.

Mie napambana na maneno ya JPM inawezekana Kuna watu wameamua kuizoea Kaz Yan wanarahisisha Mambo muda uende, sikatai hili tatizo Kama halipo lakin mamlaka za vipimo huenda hazipo makini kwa watumushi/vifaa kulingana na maelezo ya JPM.

Tujifunze kuattack sms nasio mtu binafsi " Jilinde uwalinde wengine Chukua tahadhari kwa umakini uwe salama.
 
Ila hajasema hivyo ameweka hoja takafakarishi
1. Je ni mbinu za kibeneru?
2. Je ni mashine
3. Je ni vifaa vya kupimia eg pamba
4. Je ni utaalam mdogo?
5. Je wataalam wamehongwa?
Kwahiyo ameleta maswali kujiuliza, kama papai lina corona je shida ni nini? Je virus wapo kwenye vitu tofauti? Usije ukawa umevaa barakoa na vingine na kuji lockdown 100% halafu ukala papai ukawa na corona.
Tutumie akili sio kumpinga tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In short ni kwamba kuna uwezekano wa hivyo vipimo kua na hitilafu pia...

Pia inawezekana vikaja huku tayari vikiwa na maambukizi... yote yanawezekana...

Sababu walishatutabiria Africa Covid19 inatupiga vibaya sana...

Cc: mahondaw
 
Wakija na ndege zao wamevaa suti anawaita wanaume. Usimuamini sana Rais wetu.
Mabeberu hawa hawa dawa ikipatikana tutasubr watuleteee kweli kaz tunayo and fore sure i really mic JK

Its not over until its over...[emoji769]
 
Hapo hapo anaomba msamaha wa madeni kutoka IMF na WB.

Hamna kitu hapo kichwani.
 
Duuuh! sasa mananasi na mafenesi yana damu au hizo sampuli zake zilipenyezwa vipi ina maana hao waliokuwa wakipima walikuwa hawaoni na hawajui kuwa hizi sampuli siyo za binadamu jamani??

This dude seem to be so naive and ignorant!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Corona hawapimi damu jinga veve
 
Tatizo la watanzania au Africa tunapenda kupinga kila kitu tunapenda kumyattack mtu kuliko kitu " hicho alichosema president na watu wa usalama n mtihan kwa watu wa maabara aliowapa ili kujua n kweli au lah na hii ndo tabia yake ya kufanya personal investigation bila kujua rejea alipokuwa waziri jinsi alivyokuwa anawatokea watu wa mizani au Kule kwenye barabara jinsi alivyokuwa anakusanya taarifa halisi na kuja kuwasuprise wahusika"

Njoo kwenye swala la kumuondoa mganga mkuu wa serikali pia yule mama aliemtibu DODOMA baada ya kupewa sumu kamtoa katibu afya na kumpeleka sijui wap huko na Kama anavyosemaga ukiona amekubadilisha position kipindi muda huo ofisi yako ndo inakuhitaj Basi ujue Kuna shida pahala.

Mie napambana na maneno ya JPM inawezekana Kuna watu wameamua kuizoea Kaz Yan wanarahisisha Mambo muda uende, sikatai hili tatizo Kama halipo lakin mamlaka za vipimo huenda hazipo makini kwa watumushi/vifaa kulingana na maelezo ya JPM.

Tujifunze kuattack sms nasio mtu binafsi " Jilinde uwalinde wengine Chukua tahadhari kwa umakini uwe salama.
Big Brain

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom