Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Aliekwambia corona inapimwa kwa damu ni nani aisee, umekariri mno maisha.
Corona inapimwa kwa kuingizwa kifaa mfano wa kijiti kirefu kwa njia ya puani...kinaingizwa mpaka kinagusa kuta na kwenye koo ndani kabisa...alafu kinazungushwa zungushwa kukusanya ule tuseme ute kwa lugha nyepes alafu ndio hiyo sample inakwenda kupimwa maabara....hakuna cha damu wala nini...ndio maana imewezekana kuchukua fenesi,papai,mbuzi nk na ikaweza kufanana na sample ya binadamu.
Kwahiyo ni ajabu papai kuwa na corona, ila kitasa, sakafu, nguo, paka, petty sio ajabu?

Mimi nimemsikiliza mtukufu lakini nimegundua hayupo knowledgeable, kama kitasa, kiti cha Gari, na wanyama wa kufugwa wanaweza kuwa na virus wa corona, mbona alivyoviongea vinaweza pia provided viko exposed kwa virus?

Watanzania wengi including viongozi sio watafiti they are leaders who aren't reading!!
 
Ninajiuliza kuwa tungekuwa na maaambukizi mengi Kama kenya Au Africa kusini Au zile nchi za ulaya ingekuaje?
Tuwe na maambukizi mengi mara ngapi?
Wewe umefichwa takwimu sahihi. Hao wanaozikwa usiku kama uchafu unajua idadi yake hadi sasa kwa mikoa yote?

No Transparency.
 
Sasa mbuzi mwenye wa style hii watakosaje corona
IMG_20200503_115159.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna baadhi ya watu mnapenda kusikia habari mbaya tu kuhusu corona.

Mkisikia corona imeua watu sabini kwa mpigo basi roho zenu kwatu!

Hakuna cha corona. Watu wafanye kazi na maisha yaendelee.

Ujuaji tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili la Mkuu wa nchi kupima Mbuzi na mapapai badala ya kupima watu, imetudhalilisha sisi Kama watanzania nimeona kule Kenya wameanza kutucheka na kutudhalilisha wakiandika kuwa kenya twapima binadamu Tanzania wao wapima mbuzi na mapapai, aiseee tumeanza kuchekwa Kama watoto wadogo, wakuuu hiii kitu imeshangaza Sana inamaana Mkuu wa nchi haaamini kuwa corona ipo?
Ninajiuliza kuwa tungekuwa na maaambukizi mengi Kama kenya Au Africa kusini Au zile nchi za ulaya ingekuaje? Ninasikitika Sana na kauli Kama hiii Ya mtu msomi kuhisi kuwa corona ni uongo huku anarudi kusema kuwa corona kweli ipo tuchukue hatua, sasa Mimi sielewi huku unasema kuwa corona kweli ipo huku unasema kuwa mabeberu wanatumika huku hao hao mabeberu unafaham kuwa ndio wenye idadi kubwa ya wagonjwa wa corona had majirani zako wako Juu kwa maaambukizi inamaaana wanakubeberu Halafu kwao wanaongeza Namba kwako wanakushusha? Vipimo huviamini Wakati ndivyo vinavyopima kwao huko? Hivi ikitokea huyu akawa na maamabukizi Kama nchi zingne si ndio atatembea akiimba kuwa ameletewa corona? Haki ya MUNGU huyu Mkuu amedhalilisha nchi na kila Siku analete mambo ya hovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ishu ni wewe kuogopa kuchekwa na wakenya?

Kama vipi hamia kenya basi.
 
Ni hatari sana, tuna kiongozi ambaye nadhani anaishi akijisemea "...pumbavu tu haya, yatanifanya nini..."
Ahaaahhaaaaaaaaaaa. Wafugaji ni wafugaji tuuu, corona ipo mpaka kwenye mbuzi, mabeberu, kondoo, nk. Walah kipindi hiki tunae mtu wa ajabu, jamani tusirudie kosa hili.
 
Hili la Mkuu wa nchi kupima Mbuzi na mapapai badala ya kupima watu, imetudhalilisha sisi Kama watanzania nimeona kule Kenya wameanza kutucheka na kutudhalilisha wakiandika kuwa kenya twapima binadamu Tanzania wao wapima mbuzi na mapapai, aiseee tumeanza kuchekwa Kama watoto wadogo, wakuuu hiii kitu imeshangaza Sana inamaana Mkuu wa nchi haaamini kuwa corona ipo?
Ninajiuliza kuwa tungekuwa na maaambukizi mengi Kama kenya Au Africa kusini Au zile nchi za ulaya ingekuaje? Ninasikitika Sana na kauli Kama hiii Ya mtu msomi kuhisi kuwa corona ni uongo huku anarudi kusema kuwa corona kweli ipo tuchukue hatua, sasa Mimi sielewi huku unasema kuwa corona kweli ipo huku unasema kuwa mabeberu wanatumika huku hao hao mabeberu unafaham kuwa ndio wenye idadi kubwa ya wagonjwa wa corona had majirani zako wako Juu kwa maaambukizi inamaaana wanakubeberu Halafu kwao wanaongeza Namba kwako wanakushusha? Vipimo huviamini Wakati ndivyo vinavyopima kwao huko? Hivi ikitokea huyu akawa na maamabukizi Kama nchi zingne si ndio atatembea akiimba kuwa ameletewa corona? Haki ya MUNGU huyu Mkuu amedhalilisha nchi na kila Siku analete mambo ya hovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Usingekuwa binti tungekupasha! Zungusha ubongo wako
 
Unajua magufuli hana akili, anashindwa kuelewa kwamba alichokisema kina kinyume chake yan haelewi hiyo ya kipimo kudanganya ni hatari kuliko hata hatari yenyewe. Yeye kaongelea upande mmoja wa watu kuwa negative na vipimo kuonyesha positive anasahau pia kama kipimo kinafanya hivyo hich kipimo ni rahis sana kuja na negative kwa watu positive na inawezekana kabisa ndio wengi wapo mtaan ambao wamepimwa na wameonekana negative wakati wapo positive na tunaish nao mtaani, no wonder the number is spiking up day after day.

Awadanganye mbumbumbu wa ccm ambao hawawez kufikiria

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ameyasema hayo leo wakati wa kumuapisha Waziri wa Sheria na katiba kuwa vyombo vya usalama vilipenyeza sampuli kutoka kwenye mananasi, mafenesi, mbuzi, kondoo, nk kwa siri na kuzifanya ni za binadamu. Jambo la kushangaza matokeo ya baadhi ya sampuli hizo au yalionyesha yana maambukizi ya corona.
"...tunawasiliana na Madagascar na wamehaidi kututumia dawa inayotibu covid 19...." JPM
Mambo ni mengi ngoja niweke clip ya video!
Chanzo ITV....
Muongozo unasemaje kuhusiana na hizi kits za kupimia Covid19 hasa pale zinapotumika kupima sampuli ambayo siyo ya binadamu?
 
Kama kitu hukijui usioongee utaonekana kilaza tu.

Ni nani alikwambia wanachukua sample ya damu?
Duuuh! sasa mananasi na mafenesi yana damu au hizo sampuli zake zilipenyezwa vipi ina maana hao waliokuwa wakipima walikuwa hawaoni na hawajui kuwa hizi sampuli siyo za binadamu jamani??

This dude seem to be so naive and ignorant!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri issue hapa ni kukuza jambo hili kwa kiwango cha juu kuliko uhalisia pamoja na janga hili tunatakiwa kufanya uchunguzi wa mambo sisi wenyewe kwani kunauwezekano wa kutemper na vifaa na madawa kwa manufaa ya watu binafsi wenye roho mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom