Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Mimi ni mbumbumbu wa science kabisa,naomba kuuliza wana science,Je kipimo kilichoundwa kupima sampuli A kinaweza kutumika kupima sampuli X na tukaamini matokeo ya sampuli x?
 
Huyu mtu ni kama anamkakati fulani hivi kwamba, hata watu wakiangamia haimuhusu......Naomba wandugu niambieni hapa anaposema alipeleka sample za papai alilipeleka zikiwa katikarangi gani?

Naomba Mods msiunganishe huu uzi tupeane ufahamu...nhci ni yetu sote tunapaswa kuondoa mashaka yote
 
This guy is idiot! The most dumbest president in the world.
 

Kwa hiyo akitoroka hospitali huko nje anaenda kutibiwa na bibi yako? Umeambiwa corona haina dawa sasa huko abaki wakati anaona hakuna tiba si ni bora akajaribu mizimu yake kuliko kusubili kitu ambacho hakipo.
 
Wakat bado sijawa member wa huu mtandao nilikuwa najua humu kuna watu wenye uelewa mkubwa tupu hata baada ya kuwa member nilkuwa najiona kilaza niliejichngany na Wasomi lakin siku hiz nagundua kumbe kuna vilaza zaid yangu mfano huyu mtoa mada
 
Anaamini kua corona ipo na amekiri kabisa, sababu ya kupima mapapai, fenesi, mbuzi , kondoo n.k ni kujiridhisha ukweli wa majibu kutoka katika hivyo vifaa vya kupimia.
Ndio maana vipimo vya Elisa Test kwa HIV viliondolewa.
 
Mkuu tuwaachie wana bailojia tu

Mimi na wewe tuliosoma vishazi huru tutulie
 
Nilishasema kuwa ambassador wa ndugu na familia yako magufuli is a perv na hajali kitu sababu he is on top.

Yan badala ya kuongea ni namna gan tutaovercome hili janga anakuja na lawama jaman jaman, yan ye anataka ajiexclude kwenye hii ishue wakati it started with his stupidity.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
ONDOA POROJO ZAKO WEWE NDIO BEBERU MKUBWA HUWEZI KUELEWA.
 
Ndugu zangu lazima tuwe na uhakika na vitu tunavyofanya.
Huwezi ukasema papai linakorona.
Wakati si kweli.
Huu ni mtihani maabara ya taifa wamepewa na wamefeli.
Hawata aminika tena.

Allah kariim
 
Anaamini kua corona ipo na amekiri kabisa, sababu ya kupima mapapai, fenesi, mbuzi , kondoo n.k ni kujiridhisha ukweli wa majibu kutoka katika hivyo vifaa vya kupimia.
Ndio manake.
Mkuu yupo sahihi.

Allah kariim
 
Pole ndugu ulipitia wakati mgumu sana. Ulofa mubaya sana ungefikia gesti yasingekukuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…