Wala siyo ajabu, wanyama kama ngamia, popo, kakakuona,......wanaweza ku harbour virus hao.Mungu atusaidie kwa kweli,Sa itakuaje kama Mbuzi wana korona[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanangu usikae pamoja na wenye MizahaKama kweli maambukizi yamepatikana katika sample ya vitu hivi..please kaa mbali na vitu vifuatavyo:
MBUZI!
PAPAI!
FENESI!
Popote vilipo keep your distance..........
wala siyo mzaha kaka..ni vema tukawaza zaidi...juu ya uhalali na ufanisi wa hizi mashine za kupimia coronaMwanangu usikae pamoja na wenye Mizaha
wala siyo mzaha kaka..ni vema tukawaza zaidi...juu ya uhalali na ufanisi wa hizi mashine za kupimia corona
Stupid upuuziKama kweli maambukizi yamepatikana katika sample ya vitu hivi..please kaa mbali na vitu vifuatavyo:
MBUZI!
PAPAI!
FENESI!
Popote vilipo keep your distance..........
Hata yenyewe yanaweza kutoka positive, kwa sababu ugonjwa umesambaa sana. Wengi wa hao wataalam labda hawakuvaa gloves wakati wanachukua hizo sample zaoVipi maparachichi majibu yake hayajatoka??
inakuwaje mashine za kupima corona zinaonyesha +ve kwa vitu amabvyo havina DNA ya mwanadamu...kama ni kweli sasa tutaanzaje kuwa na imani na majibu kutoka kwenye hizo maabara...Mungu atusaidie
Kama hili jambo tulilotangaziwa leo ni kweli sio cheap politics kuna maswali mengi sana ya kujibu. Ambayo mimi kwa hekima yalitakiwa yafanyiwe uchunguzi wa kisanyasi kwanza kabla yakutangazwa kwa umma maana madhara yake yanaweza kuwa mengi kuliko faida. Swala lolote la kitaalamu ni muhimu sana kutafuta majibu yakitaalamu kabla hayajatangazwa kwa umma.
Sijui watu wanapata faida gani juu ya huu upotoshaji,nyie watu bwana!
Alichokimaanisha rais ni kutaka kuonesha madhaifu ya hivi vipimo au wapimaji ,yaani haiwekani papai .mbuzi au kuku kuwa na corona
Na rais alifanya hivi ili kutaka kubaini ubora wa hivi vipimo vya korona ikiwezekana pia wapimaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipimo cha ukimwi ukapimie malaria unatazamia kikupe majibu gani?Wanabodi,
Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample za mimea na wanyama kwa kuzipa majina ya binadamu kwenye maabara kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa siri bila wapimaji kufahamu baada ya kupimwa zimetest positive yaani zina corona
Hapa ndipo Magufuli ameprove uwana-science wake.
Je? Tatizo ni vipimo tulivyonavyo au Tatizo ni utalaamu wa watu wa maabara
Je?Ni nani alituuzia hivyo vifaa
Kwa hiyo nchi za Marekani,China na ulaya ni waongo kwa idadi za vifo wanavyotutangazia na yale mazishi ni maigizo
Je? Ni wakati wa kuacha kula mbuzi,mapapai na vyote vilivyoonyesha Positive
Magufuli ameonyesha uwezo mkubwa na kushauri nchi zingine zijaribu kupima sample zingine za mimea na wanyama kwa kutumia vipimo vya corona.
Soma hapa > Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria - JamiiForums