Tumemwelewa anasema tz upande wa afya hakuna kitu.Watu wengi wanachangia hii Mada pasipo kuelewa Rais anamaanisha nini.
Rais Yeye analenga huwezo wa wataalum wetu , maabara zetu kupima huu Ugonjwa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Jiwe akiongea maneno kumi unakuta moja tu ndio la kweli, angekuwa kama anavyosema corona ni ugonjwa mdogo angekuja zake dodoma aendelee kuchapa kazi.
Ni upumbavu, narudia tena ni upumbavu kuapisha waziri kwenye makazi binafsi ya Rais wakati Ikulu ipo Geita, Mwanza.
Taasisi ya urais sio mali ya mtu binafsi.
Watu wengi hawajaelewa hii kitu kabisa mkuu.Watu wengi wanachangia hii Mada pasipo kuelewa Rais anamaanisha nini.
Rais Yeye analenga huwezo wa wataalum wetu , maabara zetu kupima huu Ugonjwa.
Yani wakati mataifa mengine yanafanya mass testing sisi tunapima mafenesi na kondoo.
" Swab" ni mtindo wa kuchukua vinasaba na siyo ndiyo kinachochukuliwa. Sasa kilichokuwa kinachukuliwa kwenye koo kinafanana na mananasi? Yaani ukiweka umajimaji (Fluids) toka kwenye koo na maji maji ya nanasi vinafanana?
Yupo sahihi,kwani wana ruhusa ya Spika? Atawalipa Mwenyekiti wao,kila kitu/sehemu kuna utaratibu na ni lazima ufuatwe.Mimi nimeshangaa kauli ya waziwazi kwamba ametoa Maagizo kwa Bunge, waleee jamaa wasilipwe posho kwakuwa wameji lockdown kuja Bungeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku kijijini wazee huwa wana tabia ya kuchukua chai ya rangi na kuchanganya na kuchanganya na maji ili kupata rangi kama ya mkojo na kupeleka zahanati ya kijiji "kumpima" mtaalamu wa maabara waliyeletewa kama anajua kazi! Ole wako uwaambie kuna UTI utasikia wanasema "yule daktari hakuna kitu kabisa' kwahiyo walichofanya watu wa "usalama" hata kuku kijijini nilipo huwa wanafanya sana tu mkuu!Tanzania itakuwa nchi ya kwanza duniani majaribio ya vipimo vya ugonjwa wa binadamu vinafanyika kwenye matunda kama mapapai, mafenes!
Mmmh, huyu mzee ana uhakika lakini? Mbona hatujasikia sehemu nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh! sasa mananasi na mafenesi yana damu au hizo sampuli zake zilipenyezwa vipi ina maana hao waliokuwa wakipima walikuwa hawaoni kuwa hizi sampuli siyo za binadamu jamani??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mapapai unapeleka sample gani. Au mapapai yana damu?
ConfusingKwamba vipimo vyetu ni fake vinabambikiza watu Corona ilhali ni malaria? Ama wataalamu ndo zero katika kuvitumia??
Watu wengi hawajaelewa hii kitu kabisa mkuu.
Ni kwamba TISS walichukua sample ya kamasi za mbuzi, sample ya ute ute wa papai, alafu wakapeleka maabara DSM.
Zote hizo zikakutwa zina corona.
Sent using Jamii Forums mobile app