Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Watu wengi wanachangia hii Mada pasipo kuelewa Rais anamaanisha nini.
Rais Yeye analenga huwezo wa wataalum wetu , maabara zetu kupima huu Ugonjwa.
Tumemwelewa anasema tz upande wa afya hakuna kitu.
 
Kwahio walivyosema wamejipanga kupima kila mahali na kwamba wapo vizuri hata hizo mashine hazifanyi kazi ?, na kama hazifanyi kazi kuna uwezekano hakuna hata mmoja mwenye corona (inaonyesha negative positive) au zote zinazopimwa zinazo na inayonyesha positive negative ? (kwamba janga ni kubwa zaidi)

Total Confusion....

In such case to be safe assume kila mtu ana Corona
 
Jiwe akiongea maneno kumi unakuta moja tu ndio la kweli, angekuwa kama anavyosema corona ni ugonjwa mdogo angekuja zake dodoma aendelee kuchapa kazi.

Ni upumbavu, narudia tena ni upumbavu kuapisha waziri kwenye makazi binafsi ya Rais wakati Ikulu ipo Geita, Mwanza.

Taasisi ya urais sio mali ya mtu binafsi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi wanachangia hii Mada pasipo kuelewa Rais anamaanisha nini.
Rais Yeye analenga huwezo wa wataalum wetu , maabara zetu kupima huu Ugonjwa.
Watu wengi hawajaelewa hii kitu kabisa mkuu.

Ni kwamba TISS walichukua sample ya kamasi za mbuzi, sample ya ute ute wa papai, alafu wakapeleka maabara DSM.
Zote hizo zikakutwa zina corona.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
" Swab" ni mtindo wa kuchukua vinasaba na siyo ndiyo kinachochukuliwa. Sasa kilichokuwa kinachukuliwa kwenye koo kinafanana na mananasi? Yaani ukiweka umajimaji (Fluids) toka kwenye koo na maji maji ya nanasi vinafanana?

Hapo nimeelewa
 
Tanzania itakuwa nchi ya kwanza duniani majaribio ya vipimo vya ugonjwa wa binadamu vinafanyika kwenye matunda kama mapapai, mafenes!
Huku kijijini wazee huwa wana tabia ya kuchukua chai ya rangi na kuchanganya na kuchanganya na maji ili kupata rangi kama ya mkojo na kupeleka zahanati ya kijiji "kumpima" mtaalamu wa maabara waliyeletewa kama anajua kazi! Ole wako uwaambie kuna UTI utasikia wanasema "yule daktari hakuna kitu kabisa' kwahiyo walichofanya watu wa "usalama" hata kuku kijijini nilipo huwa wanafanya sana tu mkuu!
 
Mmmh, huyu mzee ana uhakika lakini? Mbona hatujasikia sehemu nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app

Huwezi kuwaambia watu wakuombee huku ukichanganya na ushirikina halafu ukabaki timamu kichwani. Maombi ya wenye haki yanavuruga nguvu za giza anazozitegemea na matokeo yake ndio haya tunayoyaona leo hii.

Kwa kifupi sasa ni rasmi kuwa kuna mgonjwa wa akili ikulu ya nchi hii.
 
Baada ya Tundu Lisu kupigwa risasi. Kuna igizo lilichezwa kuwa kuna mwanajeshi kapigwa risasi.
Magu akaenda kumuangalia anamchungulia majeraha.
Basi from that drama huyu mzee sio wa kumwamini.

Na stori za mapapai ni uongo.

I still cannot figure out how TISS ended up with this guy .
Yani Rais ndio huyu?
That’s why uchumi umekufa every where. Everything is dead!
 
Mikakati iliwekwa baada ya kile kikao cha awali na wakuu vyombo. Walitaka kujua how effective hifaa na vipimo tunavyotumia ktk maabara ndio maana wakachukua sampuli za vitu mbalimbali na kuichanganya na sampuli za wa binadamu na kutuma maabara kuu.

Matokeo ndio hayo, vifaa vimeshindwa kutambua tofauti ya hizo sampuli na kutoa matokeo yasio halisia.
Duuuh! sasa mananasi na mafenesi yana damu au hizo sampuli zake zilipenyezwa vipi ina maana hao waliokuwa wakipima walikuwa hawaoni kuwa hizi sampuli siyo za binadamu jamani??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi hawajaelewa hii kitu kabisa mkuu.

Ni kwamba TISS walichukua sample ya kamasi za mbuzi, sample ya ute ute wa papai, alafu wakapeleka maabara DSM.
Zote hizo zikakutwa zina corona.



Sent using Jamii Forums mobile app

Sawa jamani, tufahamishane nini alipaswa kufanya baada ya kuona au kugunduwa udhaifu huo?

Maana hata ile 16 sio ya kweli

Wale waliotangazwa kupona sio wakweli

Nani alaumiwe?
 
Back
Top Bottom