Jiwe akiongea maneno kumi unakuta moja tu ndio la kweli, angekuwa kama anavyosema corona ni ugonjwa mdogo angekuja zake dodoma aendelee kuchapa kazi.
Kwamba unapima mananasi wakati watu wanalalamika vipo havitoshi sababu maabara ni moja watu wapo Arusha wanatuma sumpuri Dar halafu wewe unaweka jam kupima mananasi!
Ni upumbavu, narudia tena ni upumbavu kuapisha waziri kwenye makazi binafsi ya Rais wakati Ikulu ipo Geita, Mwanza.
Taasisi ya urais sio mali ya mtu binafsi.
KWA HIYO KAMA NDO MAZOEA VIFAA VYOTE TUNATOA NJE KWA MISAADA HUNA HAJA YA KUJIRIDHISHA UBORA WAKE? ACHA KUPOTOSHA UMMA UKIJITANGAZA JF KUWA UKO SWAUMUWewe nae mlugaluga embu weka ujinga wako pembeni, unataka kutufanya tuharibu swaumu zetu bure. Kuna kiwanda Cha kutengeneza vifaa Tanzania? Vifaa vyote mahospitalini tunaagiza tila nje Kama siyo vya misaada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umemwelewa vyema rais, alijaribu kupata weledi wa vipimo vinavyotoka maabara kuu na hayo ndiyo majibu. Wanajiandikia tu Positive na Negative.Watu wengi wanachangia hii Mada pasipo kuelewa Rais anamaanisha nini.
Rais Yeye analenga huwezo wa wataalum wetu , maabara zetu kupima huu Ugonjwa.
..."kwenye papai sampuli ilichukuliwa ndani ya papai kitaalam kabisa na sampuli hiyo kupewa jina la......." JPMKwani hayo mafenesi na mbuzi na kondoo ukishika mwenye corona na huyo virus akatua kwenye hilo fenesi na hiyo sample ikapelekwa maabara unadhani maabara haita kwambia kuna corona. Ndio maana wataalamu wamegundua kwamba virus wa corona anaweza kukaa kwenye nguo au plastic au chuma kwa masaa kadhaa. Halafu kama maabara ya serikali inahitilafu nijambo kweli la kupepeleza na kutuambi sisi wananchi kwamba haiaminiki,yeye si ni Rais atoe hela itengenezwe au anunue nyingine. Kwa mantiki hiyo anakubaliana na wanaoponda kwamba takwimu za serikali ni za uongo!
Anasema mpaka sasa wamekufa 16, no wonder Madelu kateuliwa maana nae aligundua huyo anapenda kuficha taarifa za ukweli, anapenda matangopoliYani huyu mzee ni Kibwetele Mia mia
Umeyajibu mambumbu yasiyojua chochoteMkuu ilikuwa inachukuliwa "swab" kama unaangalia tv za wenzetu utaona wanawapitisha kijiti chenye pamba puani! kwahiyo hawapeleki damu mkuu!
Wewe utakuwa mpuuuzi kweli kweli, yani badala ya kumshangaaa rais unatoa ufafanuz wa kizembe hivyo? Kwa akiri ya kawaida huwezi fanya hiyo kitu bhana, ujue rais ni mtu Mkubwa Sana ndugu, kuanza kudili na mambo ambayo tulidili nayo tukiwa na miaka 7 , ujue labda hujaelewa ni kuwa yeye kakariri kuwa anachotaka ndio kiwe hata kwa nguvu ndio maaana kaona hakiwi katuma mapapai kwa kutoamini kuwa itakuwa anazungukwa na watendaji, sasa katika akiri ya kawaida nchi zingne zimeripoti hadi watu zaid ya milioni moja na laki Tatu wameambukizwa wewe wako Mia moja tu unasema hakuna huu ni uongo itakuwa mabeberu wamekuzunguka ktk akiri ya kawaida utakuwa hauko sawa maaana hata jirani yako Kenya ana kuzidi mbali Kwa maaambukizi wewe bado unasema kuwa utakuwa umezungukwa, swali linakuja je maaambukizi kwako yakiwa laki moja si ndio utachanganyikiwa?Watu wengi wanachangia hii Mada pasipo kuelewa Rais anamaanisha nini.
Rais Yeye analenga huwezo wa wataalum wetu , maabara zetu kupima huu Ugonjwa.
Mpaka hapa alikofikia kashajimaliza mwenyewe. Wewe Sehemu kubwa ya Serikali yake iko msibani yeye anakimbilia kwenye teuzi?? Hata kama alikuwa na chuki binafsi kwa Mh Mahiga, Kiongozi mwenye Hekima na Busara asingefanya hivyo kwani tunaamini kichwa chake kingekuwa kimejawa na majonzi ya kuondokewa na Mteule wake. Ndiyo maana tunasema kuna shida mahali na hili linapaswa kutizamwa vema na waliokaribu nae.Watanzania tusirudie makosa tushajifunza hatuna kiongozi hapa
Sio Damu inapimwa Acha ujingaKumbe maabara za Tanzania unaweza peleka mafenesi ukawadanganya ni sample ya damu wakakubali.
Ni masikitiko makubwa Sana kwakweli, yani huku anasema corona ipo huku anasema haaamini hadi anapima MbuziHakika Mkuu. Siamini kama maneno haya yametoka kinywani mwa Rais. Yaani ameamua kuidhalilisha Maabara Kuu ya Serikali a ayoiongoza kiasi kile?? Kwamba haijui watendalo hata wakiletewa papai wanasema kuna corona??
Hili siyo lakuchukulia poa kuna shida mahali kwa Kiongozi huyu. Atawafanya Watendaji wa Wizara ya Afya wanaofanya kazi ktk mazingira magumu kukata tamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezo =uwezoWatu wengi wanachangia hii Mada pasipo kuelewa Rais anamaanisha nini.
Rais Yeye analenga huwezo wa wataalum wetu , maabara zetu kupima huu Ugonjwa.
Acha ujinga nan kasema damu ndiyo inapimwa?
Wamewapelekea wataalam maabara sample za mifenesi,papai,kware ,mbuzi bila wenyewe kujua. Hao wataalam walikuwa wajinga kiasi gani ,aisee jamaa mwongo balaa
Umekuwa MANGE KIMAMBI?Huku niliko ni usiku, nimeshtuka usingizini nakutana na habari zinatrend kwenye magroup ya wasap, sikutaka kuamini kirahisi nikaingia kwenye vyanzo ninavyoviamini laahulaa[emoji848] nakuta ni habari ya kweli.
Sasa watu wa afya tuambieni sample za majimaji ya binadamu zinafanana na sample za majimaji ya mapapai, Vitunguu na mafenesi?
Kumbe huku duniani wakiwa busy wana-fanya mass testing kwa watu huko nyumbani Tanzania maabara za COVID-19 zinapima kondoo na mbuzi, vitunguu, mapapai na mafenesi nini mnaiambia dunia?
Nategemea kuona watu wengi kupuuzia kupata huduma za hospital kuhusu hili janga na hakika majibu yake mtayapata kisawasawa.
Kama unaipenda familia ilinde, wanasiasa wanawapoteza kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu we ni mtu mzima sio mwehu" Swab" ni mtindo wa kuchukua vinasaba na siyo ndiyo kinachochukuliwa. Sasa kilichokuwa kinachukuliwa kwenye koo kinafanana na mananasi? Yaani ukiweka umajimaji (Fluids) toka kwenye koo na maji maji ya nanasi vinafanana?
Comrade leo mmepima mapapai mangapi?Umekuwa MANGE KIMAMBI?
Acha ujinga weweHii ni kama anataka kuaminisha kuwa zile data za ongezeko la maambukizi zilikosewa. Mengine yalikuwa mananasi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app