Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Alichoongea cha maana ni kuwaandikia Madagascar barua kuhusu dawa mengine yote kaongea mashudu
Jiwe akiongea maneno kumi unakuta moja tu ndio la kweli, angekuwa kama anavyosema corona ni ugonjwa mdogo angekuja zake dodoma aendelee kuchapa kazi.
Kwamba unapima mananasi wakati watu wanalalamika vipo havitoshi sababu maabara ni moja watu wapo Arusha wanatuma sumpuri Dar halafu wewe unaweka jam kupima mananasi!
Ni upumbavu, narudia tena ni upumbavu kuapisha waziri kwenye makazi binafsi ya Rais wakati Ikulu ipo Geita, Mwanza.
Taasisi ya urais sio mali ya mtu binafsi.