mwaitakotako mwaipumbuje
Member
- Mar 10, 2020
- 25
- 155
Aliekwambia corona inapimwa kwa damu ni nani aisee, umekariri mno maisha.Duuuh! sasa mananasi na mafenesi yana damu au hizo sampuli zake zilipenyezwa vipi ina maana hao waliokuwa wakipima walikuwa hawaoni kuwa hizi sampuli siyo za binadamu jamani??
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona inapimwa kwa kuingizwa kifaa mfano wa kijiti kirefu kwa njia ya puani...kinaingizwa mpaka kinagusa kuta na kwenye koo ndani kabisa...alafu kinazungushwa zungushwa kukusanya ule tuseme ute kwa lugha nyepes alafu ndio hiyo sample inakwenda kupimwa maabara....hakuna cha damu wala nini...ndio maana imewezekana kuchukua fenesi,papai,mbuzi nk na ikaweza kufanana na sample ya binadamu.