Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe jiulize kwanini watu wanazikwa usiku na wanakataza kupiga picha.Ndiyo tatizo la nyie mnaochangia kwa ushabiki na siyo facts. Ukiwa unachangia kishabiki utakuwa unaunga mkono upende mmoja tu regardless unafanya upumbavu. Na ndiyo walivyo watu wengi hapa. Lakini mimi huwa nakosoa pale mtu anapokosea na kusifia pale mtu anapofanya vizuri. Hii suala la corona Magufuli anatuangamiza. Sasa hivi kuna vifo vingi mno. Wanaficha. Halafu kwa upumbavu wake bado anahamasisha watu waendeleze mukusanyiko kwa hoja za kijinga kabisa. Unataka nimsifie?
Tuambie sasa mapapai yana sample gani zilizoko kwenye mwili wa binadamu.Mkuu, sample ya kupima covid ni damu? Unaweza kumuona JPM hana hoja kumbe wewe ndio hujui kitu.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona tushatest Sana unapeleka mtori unaambiwa una strongloids au s miasis [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa kwann ushangae papai na fenesiDuuuh! sasa mananasi na mafenesi yana damu au hizo sampuli zake zilipenyezwa vipi ina maana hao waliokuwa wakipima walikuwa hawaoni na hawajui kuwa hizi sampuli siyo za binadamu jamani??
This dude seem to be so naive and ignorant!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimegundua sasa uwezo wako na kwa jinsi gani unavyokurupuka.Inaonekana wewe ni msoma magazeti kwa kugeuza. Rudi kasikilize tena kama kunapahala kataja hayo mafenesi na mbuzi sijui akiwa mzima au nyama ilipekekwa maabara ya Taifa.
Kama haujui wewe ndiye unayeonekana mjinga na kilaza mkubwa na hauna hoja wala point...Ni ujinga uliopitliza kulisha kipimo cha corona sample za mapapai. Kile kipimo hakifanyi kazi kama huyu kilaza wenu anavyofikiri. Ukikilisha vitu kama sample za mafenisi kinaweza kutoa majibu yoyote kwani hakikutengezwa kuchambua kila sample kinacholishwa. Na pia kunaweza kuwa na human error au negligence kwenye upimaji. Sababu ziko nyingi sana na siyo conclusion ya kijinga aliyofikia huyu kilaza wenu. Rais anatoa hotuba nchi nzima inaingiwa na aibu kwa kuwa na raios mwenye upeo mdogo wa kuchanganua mambo namna hii!
Duuuh!Inaonyesha wanapima damu badala ya swab ya mdomoni au puani, sijui ni kwa nini though!!!!
Mbona wameshakataza kuzika watu usiku na kukataza maiti zisisafirishwe
Hili lililofanywa na maabara hii ya kupima korona ni uhujumu uchumi,wasakwe popote pale walipo, wawekwe ndani,wahojiwe, kisha wafikishwe mahakamani.
Wao pamoja na walioagiza mitambo hiyo na kuitia hasara serikali
Kwenye corona vinapimwa vinasaba (RNA) kwa kutumia polymerase chain Reaction (PCR)... Inakuaje oil inakua na vinasaba."“Oil ya gari tuliipa jina Jabir Hamza miaka 30 ikawa Negative, Fenesi tuliita Sarah Samwel, Papai tulilipa jina la Elizabeth Anne mwenye miaka 26 likakutwa lina corona, kware Positive, mbuzi positive, kondoo negative, maana yake Mapapai yote yapelekwe karantini!?, ajabu hii”-JPM millardayo on Twitter
Wanazika mapapai...Hoja hujibiwa kwa hoja inawezekana kuna ukweli lakini anasema nini kuhusu hivi vifo vinavyoendelea
Kweli dereva kaamua kutuingiza porini, ila kuchezea afya za raia ni dhambi kubwa sana. Wenzetu kuna kipengele cha kumpima kiongozi kama yuko sawa kiakili na ikibainika hayuko sawa wanampumzisha.Watu wengi hawajaelewa hii kitu kabisa mkuu.
Ni kwamba TISS walichukua sample ya kamasi za mbuzi, sample ya ute ute wa papai, alafu wakapeleka maabara DSM.
Zote hizo zikakutwa zina corona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hao watu wa Usalama ndiyo walimshauri achukue sample za mananasi. Mafenesi, mapapai na mbuzi.....!? Hii speech yake was very uncalculated....!!Sayansi hupingwa kisayansi mnaoleta hoja zenu kumpinga rais leteni data zenu za kisayansi
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi leo ndio umepewa simu ya Android, mbona picha zipo siku nyingi tu.Tupia kapicha au kavideo ka hayo makaburi au mazishi tuone please!