Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Ndiyo tatizo la nyie mnaochangia kwa ushabiki na siyo facts. Ukiwa unachangia kishabiki utakuwa unaunga mkono upende mmoja tu regardless unafanya upumbavu. Na ndiyo walivyo watu wengi hapa. Lakini mimi huwa nakosoa pale mtu anapokosea na kusifia pale mtu anapofanya vizuri. Hii suala la corona Magufuli anatuangamiza. Sasa hivi kuna vifo vingi mno. Wanaficha. Halafu kwa upumbavu wake bado anahamasisha watu waendeleze mukusanyiko kwa hoja za kijinga kabisa. Unataka nimsifie?
Wewe jiulize kwanini watu wanazikwa usiku na wanakataza kupiga picha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuh! sasa mananasi na mafenesi yana damu au hizo sampuli zake zilipenyezwa vipi ina maana hao waliokuwa wakipima walikuwa hawaoni na hawajui kuwa hizi sampuli siyo za binadamu jamani??

This dude seem to be so naive and ignorant!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona tushatest Sana unapeleka mtori unaambiwa una strongloids au s miasis [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa kwann ushangae papai na fenesi

kilicho akilini kitumie
 
Sababu iliyopelekea mbuzi kukutwa na Covid 19 [emoji116][emoji116][emoji116]
tapatalk_1587938675046.jpg


"ᴺᵒ ⁱᵐᵖᵒˢˢⁱᵇˡᵉ ᵗʰᵉ ʷᵒʳᵈ ⁱᵗˢᵉˡᶠ ˢᵃʸˢ ᴵ'ᵐ ᵖᵒˢˢⁱᵇˡᵉ"
 
Inaonekana wewe ni msoma magazeti kwa kugeuza. Rudi kasikilize tena kama kunapahala kataja hayo mafenesi na mbuzi sijui akiwa mzima au nyama ilipekekwa maabara ya Taifa.
Nimegundua sasa uwezo wako na kwa jinsi gani unavyokurupuka.

Namnukuu Mheshimiwa rais: walepeleka fenesi wakalipa jina la Sara Samwel, na walipeleka Papai wakalipa jina la Elizabeth Anne.

Kumbuka sampling ilifanywa kwa Kwere,kondoo, sungura, mbuzi. Nakushauri ukiwa unajenga hoja jaribu kusoma mada uhusika mara nyingi uwezavyo.
 
Ni ujinga uliopitliza kulisha kipimo cha corona sample za mapapai. Kile kipimo hakifanyi kazi kama huyu kilaza wenu anavyofikiri. Ukikilisha vitu kama sample za mafenisi kinaweza kutoa majibu yoyote kwani hakikutengezwa kuchambua kila sample kinacholishwa. Na pia kunaweza kuwa na human error au negligence kwenye upimaji. Sababu ziko nyingi sana na siyo conclusion ya kijinga aliyofikia huyu kilaza wenu. Rais anatoa hotuba nchi nzima inaingiwa na aibu kwa kuwa na raios mwenye upeo mdogo wa kuchanganua mambo namna hii!
Kama haujui wewe ndiye unayeonekana mjinga na kilaza mkubwa na hauna hoja wala point...
 
Hili lililofanywa na maabara hii ya kupima korona ni uhujumu uchumi,wasakwe popote pale walipo, wawekwe ndani,wahojiwe, kisha wafikishwe mahakamani.

Wao pamoja na walioagiza mitambo hiyo na kuitia hasara serikali

There have been some reported cases of COVID-19 being trasmitted in animals. See link for some of the cases.

Q&A: Research about COVID-19 transmission in animals is ‘urgently needed’

Nevertheless under the current scenario it is essential that validity and realiability of ongoing test results necesiate the need for EQA (External Quality Assurance) tests as this would validate ongoing tests, testing kits used along with competence of those carrying those tests and clear existing doubts.
 
Namnukuu Mwamba " Kwamba Kuna uwezekano wa Kuishi na Virusi vya Corona Kama Watu wanaohishi na VVU (ukimwi ) na Magonjwa mengine ".

Hii ni assumption, inahitaji Ushahidi wa Kisayansi..


Ushahidi wa Kisayansi Uligundua; Waathirika wa Virusi Vya Ukimwi, wanaweza Kuongeza Siku zao Kuishi Kwa Kutumia dawa za Kupunguza Makali ya Ukimwi ( ARV ).

∆∆ Tunahitaji Ushahidi wa Kisayansi Kuzibitisha hii assumption yake ..
Ushahidi huo, Utuambie dawa maalum ya Kutumia za Kupambana na Corona, sio kutupa assumptions.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"“Oil ya gari tuliipa jina Jabir Hamza miaka 30 ikawa Negative, Fenesi tuliita Sarah Samwel, Papai tulilipa jina la Elizabeth Anne mwenye miaka 26 likakutwa lina corona, kware Positive, mbuzi positive, kondoo negative, maana yake Mapapai yote yapelekwe karantini!?, ajabu hii”-JPM millardayo on Twitter
Kwenye corona vinapimwa vinasaba (RNA) kwa kutumia polymerase chain Reaction (PCR)... Inakuaje oil inakua na vinasaba.

Kwakweli futuhi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sayansi si vurugu.
Kuna utaratibu maalum unaotakiwa kufanyika unaposhughulika na Sayansi.

Kama Rais Magufuli alitaka kuonyesha ubovu wa vipimo vinavyotumika sasa kutambua wagonjwa wa COVID-19, angeelekeza watu wake wachukue sampuli hizo kwa binaadam wengine wanaojulikana kwamba hawana ugonjwa huo na kuziwasilisha kwenye maabara anazoona hazifanyi kazi ipasavyo.
Huwezi kwenda kuchukua sambpuli kwenye vitu tofauti na hivyo vinavyopimwa halafu ukaja kuhadaa watu na kutaka kuwaaminisha yasiyoweza kuaminiwa.

Rais anaonyesha wazi anayo matatizo na anahitaji msaada wa haraka.
 
Hata hivyo tunayo maabara moja tu Tanzania nzima, angalau zingekuwepo tatu au nne ingependeza zaidi, kama mtu ukipima malaria sehemu moja unaambiwa hauna, ukienda sehemu nyingine unaambiwa unayo, na kwa Corona ingekuwa hivyohivyo.

Sasa kwa hiyo moja tuliyonayo hata kama inasema ukweli au uongo tutaamini vipi?! kwa sasa aache story zake za mapapai aongeze mashine nyingine kwanza, ndio tujue tatizo liko wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi hawajaelewa hii kitu kabisa mkuu.

Ni kwamba TISS walichukua sample ya kamasi za mbuzi, sample ya ute ute wa papai, alafu wakapeleka maabara DSM.
Zote hizo zikakutwa zina corona.



Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli dereva kaamua kutuingiza porini, ila kuchezea afya za raia ni dhambi kubwa sana. Wenzetu kuna kipengele cha kumpima kiongozi kama yuko sawa kiakili na ikibainika hayuko sawa wanampumzisha.
 
Back
Top Bottom