Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Tatizo mnadhani kila jambo huwekwa adharani hii Ni inji si banda la kuku wako wa kinyeji Apo uwani,nyie tulieni serikali inakazi kubwa sana inafanya basi tuuh amfahamu
[/QUOTE
ulicho kiandika sijui kama unakielewa
 
Jamani hili sio suala la kufanyiwa siasa wala mzaha huu ugonjwa ni wa hatari hata serikali yetu inatambua kuwa upo. Hivyo usitumike kama njia ya kujinufaisha kisiasa.

Rais Mgufuli alipoviagiza vyombo vya ulinzi na usalama ili kuchunguza utendaji kazi wa na vifaa vya maabara vinavyotumika alikuwa na nia njema. Kujua ubora wa vifaa na pili kujua kama kuna njama zilikuwa zinafanyika ili kutoa takwimu za uongo ili kuwapa watanzania hofu.

Sasa nashangaa sana wafuasi na wanachama wa upinzani wanawapotosha wananchi kuwa, mbuzi,kondoo ,mapapai na mafenesi yana corona virus.Jambo ambalo sio kweli.

Sampuli hizi zilichukuliwa kama mtego ili kubaini kama kuna njama na ubora wa vifaa vinavyotumika. Lakini hakuna mbuzi,papai,fenesi,wala kondoo mwenye Coronavirus maana hata hayo matunda tuliambiwa hayajanyauka.

Hivyo wapinzani kama mmekosa hoja za kupambana na Ccm bora mkae kimya maana mnawachanganya wananchi mpaka wanagopa kula nyama ya mbuzi na mapapai.
 
Tangu igundulike kuwa test kits za covid-19 ni feki
Wale walioambiwa wamepona wanajisikiaje?
Watuambie wasiogope, kwanza wao ndo wenye kinga na point 3 toka covid-19.
 
Tangu igundulike kuwa test kits za covid-19 ni feki
Wale walioambiwa wamepona wanajisikiaje?
Watuambie wasiogope, kwanza wao ndo wenye kinga na point 3 toka covid-19.
Hata waliokufa kwa COVID-19 wata mind sana.
 
Habar Wana Jamiforums

Nilipotea kidogo Maana nilikua kifungoni kwa kosa la kuwaita ndugu zangu

Nirudi kwenye mada hivi waafrica sisi ni wajinga kiasi gani au yale maneno yalivyo andikwa kwenye biblia ni ya kweli ya kwamba sisi watu weusi maisha yetu yote tutakua watumwa kwa watu weupe?

Hivi ingewakost kiasi gani viongozi wa Africa kujaribu na wao kupima vifaa vyao
Hivi inawapa faida gani upinzani kubeza ukweli au hii ndio maana halisi ya siasa kwaio tusiwalaum?

Kwani wangefanya majaribio wakapata majibu hawakuona ndio ilikua njia Bora ya kuja kuhoji hotuba ya Rais yaani ukikaa Tanzania ndio utawaona wajukuu wa watema kina Mirambo humu Maana Wana tabia Kama za Babu zao za kuuza utu wao kwa wazungu na kuwatoa waafrica wenzangu kafara

Nimekua nikitembelea kwenye mitandao Mingi ya wazungu waarabu hata wachina nilicho ona ni how Magufuli GENEAUS watu wanavyo kuongelea Tena watu wazito wazito na wakubwa embu nenda kaangalie kwenye page za wanasiasa huto Amini wanavyo ongea kwa ujinga na kupongezana



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu mwenye Akili timamu ambayo haivuji hawezi kuamini maneno ya mchungaji wa Chato hata siku moja ukiachilia kuwa alipata PhD fake nakushauriwa na mtu aliyepata zero form Four bado mchungaji nimuongo sana na muhuni.
 
Kuendelea kumjadili huyu Mzee ni matumizi mabaya ya ubongo.
 
Basi wazungu mwanzo na wao walidanganya kusema kuwa Virusi vya Corona vipo katika wanyama kama popo na ngamia.

Kuna wakati lazima kujadili mambo mengine nje ya siasa ili tuweze kuutambua ukweli,ila muafrika ni mtu rahisi sana kumtawala kuliko kumtega sungura porini,muafrika mtengenezee tu itikadi,utammaliza vizuri sana.
 
Back
Top Bottom