Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Habar Wana jamiforums
Nilipotea kidogo Mana nilikua kifungon kwa kosa la kuwaita ndugu zangu ( ufp)

Sent using Jamii Forums mobile app

Yaani wewe hapa JF leo 10/05/2020 ndio umefikisha miezi miwili toka ujiunge, lakini tayari umeshakula adhabu ya kifungo!?
Sina shaka umekuja kwa NEW ID kwa lengo maalum! Yaani usajiri mpya wa kuongeza nguvu ya KUSHAMBULIA!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapoponda cha mwenzako na wewe tengeneza chako uje na scientific methods kuprove utendaji wake mwisho wa siku ni kwa ajili ya kuokoa uhai wa mwanadamu na dunia kwa ujumla haijarishi mweusi au mweupe siyo unakuja na porojo zisizoeleweka na uchama.
 
Rais wetu alitutahadharisha na kuweka bayana kuwa "hii ni vita" kweli ni vita! Corona imegeuka kuwa silaha ktk vita hii......usipo gundua unatandikwa nayo kisha unakaa chini!!

Vita hii inahitaji werevu na akili sana kupambana nayo vinginevyo huwezi kung'amua adui yako ni yupi, corona au mtu?

Tutaishinda vita hii kikamilifu kwa watanzania kufanya kazi Kwa bidii, kamwe tusilale wala tusikubali kuvunjwa nguvu.
 
Mh Rais kwakweli tuendelee kumuombea sana. Maana amekuwa na maono mengi sana ambayo taratibu tunaanza kuyaona waziwazi
 
Tangu kutokea mlipuko wa Covid 19 duniani.. ulioanzia Wuhan nchini China, Rais Magufuli amekuwa akieneza propaganda zisizo za kweli juu ya ugonjwa huo.

TUZIJADILI;

~Dawa za kupulizia wadudu znasambaza corona. hii sio kwel na ni kitu ambacho hakiwezekani.

~ Vifaa vya kupimia Covid vnasambaza corona. Hakutoa ushahidi wowote.

~ Kujifukiza kunatibu corona. Haijathibitishwa kisayansi. Madhara yake ni kuunguza mifumo ya hewa na kujaza mapafu maji.

~ Vifaa vya kupima corona ni feki. Hapa aliaibisha taifa kwa kupima mapapai, mbuzi, kwale nk.. Hakujua kwamba inawezekana vzur tu wanyama kupata corona maana ugonjwa wenyewe wa corona umetoka kwa wanyama.

~ Chanjo hazifai. Hapa pia alipotosha umma. Chanjo zmesaidia sana kupambana na magonjwa kama polio, pepopunda, surua, ndui nk. Kila mwaka watu million tatu wanaokolewa kutoka kwenye kifo duniani kote kwa sababu ya chanjo.

: Kingine serikali ya Magufuli inasema haito agiza chanjo mpaka ijiridhishe, swali la kujiuliza ni.. corona itaendelea kusubir serikali ijirdhshe au itaendelea kula vichwa vya watu?

NI MUDA WA KUIAMINI SAYANSI NA KUACHA PROPAGANDA ZA KISIASA KWENYE MAISHA YA WATANZANIA.
 
Wanasayansi wetu hawaiamini sayansi. Fikiria kama mtu aliyesoma hadi kufikia kiwango cha PhD ana pingana na sayansi. Wewe wafikiri nini hapo?
 
MUNGU ni mwaminifu, popote ulipo nakuombea heri na baraka, mengine ni sehemu ya maisha.
 
FB_IMG_1615362150772.jpg
 
Siku moja tutakukumbuka. Kweli naziona dalili
 
Back
Top Bottom