Tangu kutokea mlipuko wa Covid 19 duniani.. ulioanzia Wuhan nchini China, Rais Magufuli amekuwa akieneza propaganda zisizo za kweli juu ya ugonjwa huo.
TUZIJADILI;
~Dawa za kupulizia wadudu znasambaza corona. hii sio kwel na ni kitu ambacho hakiwezekani.
~ Vifaa vya kupimia Covid vnasambaza corona. Hakutoa ushahidi wowote.
~ Kujifukiza kunatibu corona. Haijathibitishwa kisayansi. Madhara yake ni kuunguza mifumo ya hewa na kujaza mapafu maji.
~ Vifaa vya kupima corona ni feki. Hapa aliaibisha taifa kwa kupima mapapai, mbuzi, kwale nk.. Hakujua kwamba inawezekana vzur tu wanyama kupata corona maana ugonjwa wenyewe wa corona umetoka kwa wanyama.
~ Chanjo hazifai. Hapa pia alipotosha umma. Chanjo zmesaidia sana kupambana na magonjwa kama polio, pepopunda, surua, ndui nk. Kila mwaka watu million tatu wanaokolewa kutoka kwenye kifo duniani kote kwa sababu ya chanjo.
: Kingine serikali ya Magufuli inasema haito agiza chanjo mpaka ijiridhishe, swali la kujiuliza ni.. corona itaendelea kusubir serikali ijirdhshe au itaendelea kula vichwa vya watu?
NI MUDA WA KUIAMINI SAYANSI NA KUACHA PROPAGANDA ZA KISIASA KWENYE MAISHA YA WATANZANIA.