Rais Magufuli: Maalim Seif ni Kiongozi kweli, aliacha 'interest' zake na kutanguliza za Wazanzibari

Si Maalim alisema kesi ipo ICC. Alishaifuta huko, au ndio sehemu ya maongezi ya ziara hii?
Pale Shahidi Mkuu wa ICC anapoamua kukaa kikao cha kunywa damu ...

Habari za haraka haraka zinasema Museveni Uganda kafanya copy and paste kama Magufuli ...uchaguzi leo kila kitu wamezima na matokeo watasoma kama walivyofanya kina Mahera

Mahera na timu yake tayari wako huko .....wakitoka ngoma inaenda kuibiwa huko Zimbabwe
 
Nchi hii imejaa mabwege tuuu! Watu wameuawa, yatima, wajane, wamejazana; watu wako mahabusu kwa kesi za uongo; halafu mtu mzima na akili yake nzima anakuja kuongelea eti, oh!, Magufuri, sijui ujinga gani; NONSENSE kabisa!
Nami nakazia hapo MABWEGE TU.
 
Nimecheka kwa nguvu balaa, yaani Tundu Lisu ajirushe ghorofani kwa Maalim Seif kukutana na Magufuli? Huyo Lisu sidhani hata kama anatamani kukutana na Magufuli, wako wanaotamani na kutetemekea kukutana na Magufuli, ila Lisu sio mmojawao.
Hawamjui Lisu hawa.
Kam lisu ni mshabiki Wa yanga na bado hataki rangi ya kijani nyumbani kwake kwa sababu inafanana na rangi ya ccm.
Ije kuwa kuwa anatishika na maalim kukutana na waliomfikisha ubeligiji kwa matibabu.
 
Maalim anadhihakiwa au ndiyo ukweli. Anyway, anaesema hivyo yeye binafsi amefanya nini kuhakikisha kuwa Wapinzani wanapunguza kinyongo juu yake...!!
 
Hizo ni interest zake full stop. Wala hakukuwa na mkutano wa ACT wanachama wa Zanzibar walokubali aende.

Kuhusu Lisu, naungana na interest za uhai wake kwanza. Generals survives battles to lead a next one.
 
..Na baada ya Tundu Lissu kuondoka, si Maalim Seif, wala Zitto Kabwe, wanaozungumza kuhusu suala la Mashekhe wa Uamsho.
 
Lisu aliambiwa apewe ka cheo atulie akakimbilia Brussels
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…