Rais Magufuli: Maalim Seif ni Kiongozi kweli, aliacha 'interest' zake na kutanguliza za Wazanzibari

Mashehe wako ni magaidi

..hawajahukumiwa na mahakama.

..na uchunguzi haujakamilika kwa zaidi ya miaka 5.

..kuliko kuwaachia walawiti waliopatikana na hatia, ni bora kuwaachia Mashekhe ambao imeshindikana kupata ushahidi wa kuwatia hatiani.
 
Naona Maalim Seif "anakula nyanya"..!! Unafqi unalipa sheikh..!!
 
We wasema,hebu ngoja nimpigie nimuulize,ntarudi kwako.
Maana Lisu ninavyomjua hawezi ungana na watesi wake bana.
 
Njaa mbaya sana
 
Nimecheka kwa nguvu balaa, yaani Tundu Lisu ajirushe ghorofani kwa Maalim Seif kukutana na Magufuli? Huyo Lisu sidhani hata kama anatamani kukutana na Magufuli, wako wanaotamani na kutetemekea kukutana na Magufuli, ila Lisu sio mmojawao.
Kwakua wewe ni mke wake,ndomaana unajiapiza hivyo au ndo unaongea kishabiki kama kuku aliyekatwa kichwa? Ni wanaachedema wangapi mliwasifu hivyo, na leo hii hamko nao tena huo ufipani?
 
Kwakua wewe ni mke wake,ndomaana unajiapiza hivyo au ndo unaongea kishabiki kama kuku aliyekatwa kichwa? Ni wanaachedema wangapi mliwasifu hivyo, na leo hii hamko nao tena huo ufipani?

Asante mama Majaliwa, hakuna mwanacdm anakatazwa kuhama ila akihama tunasitisha support kwake maana anakuwa useless kwetu.
 
Bahati yako, haukufata agizo la hao viongozi wako la kwenda barabarani. Hata wewe ungeenda na maji.

Wangapi mshawapeleka na maji ili tujue kina cha maji ww shoga mjane?
 
Asante mama Majaliwa, hakuna mwanacdm anakatazwa kuhama ila akihama tunasitisha support kwake maana anakuwa useless kwetu.
Kama unalitambua hilo, basi acha kiherehere cha kukufanya unamjua sana mmeo lissu kiasi cha kujua hata anayowaza kufanya huko mbeleni.
 
Wangapi mshawapeleka na maji ili tujue kina cha maji ww shoga mjane?
Matusi na dhihaka kwangu havitakusaidia kuondokana na umasikini ulionao,unaokufanya ushinde humu kusubiria nyuzi za wapumbavu wenzako Ili ucomment "Magufuli kasababisha maisha magumu" .
 
Kama unalitambua hilo, basi acha kiherehere cha kukufanya unamjua sana mmeo lissu kiasi cha kujua hata anayowaza kufanya huko mbeleni.

Naona umekimbia mabasha huko bar baada ya kuwanywea bia zao, sasa unakuja kulazimisha mabasha kinguvu huku jukwaani we punga.
 
Matusi na dhihaka kwangu havitakusaidia kuondokana na umasikini ulionao,unaokufanya ushinde humu kusubiria nyuzi za wapumbavu wenzako Ili ucomment "Magufuli kasababisha maisha magumu" .

Ulijichanganya na mimi ngoja nikuchumishe matembele ili siku nyingine ukae kwa kutulia. Kuna mtu unamlisha humu kama unavyolishwa na mabasha zako, mpaka uhoji uwepo wangu hapa jukwaani?
 
Naona umekimbia mabasha huko bar baada ya kuwanywea bia zao, sasa unakuja kulazimisha mabasha kinguvu huku jukwaani we punga.
Sibishani na masikini,wasiokuwa na hoja za kujadili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…