Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnafanya mizaha ila ngoja ufike ili uandike tena comments za namna hii.Yuko bize anagombania na Chadema kumtoa Mfungwa Gerezani.. Mfungwa aliyefungwa kutokana na maagizo yake Rais.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akitoka anaenda Kimara kwa ndugu wa Msigwa PeterKaribu.
Unaweza pia kuona kupitia Channel ten tv na ITV.
Up dates;
Rais Magufuli ameishukuru serikali ya Germany kwa msaada walioutoa kujenga karakana hiyo ya kisasa.
Pia Rais Magufuli amempa balozi barua maalumu ya shukrani kwa counvillor Mikael wa Germany.
Kadhalika Rais Magufuli ametumia fursa hiyo kuwataka watanzania wajihadhari na ugonjwa huo hatari.
Rais Magufuli amevitaka vyombo vyote vya habari kutoa elimu kuhusu corona.
Kadhalika amewataka wananchi kutosafiri hovyo na amemuagiza CS kutotoa vibali vya kusafiri kwa safari zisizo muhimu.
Rais Magufuli amesisitiza hata ndege ya ATCL inayofanya safari za India ikirejea kesho haitasafiri tena kwenda huko.
Maendeleo hayana vyama!
Mchungaji Msigwa ndio atakwenda Ikulu na familia yake kushukuru!Akitoka anaenda Kimara kwa ndugu wa Msigwa Peter
Sent from my SM-A207F using Tapatalk
Amekosa kazi mzee kinganganizi hataki hata mawaziri wake waonekane wakizindua miradi, karakana izinduliwe na waziri wa ulinzi. Bado Mbowe michango inaendelea.Karibu.
Unaweza pia kuona kupitia Channel ten tv na ITV.
Up dates;
Rais Magufuli ameishukuru serikali ya Germany kwa msaada walioutoa kujenga karakana hiyo ya kisasa.
Pia Rais Magufuli amempa balozi barua maalumu ya shukrani kwa counvillor Mikael wa Germany.
Kadhalika Rais Magufuli ametumia fursa hiyo kuwataka watanzania wajihadhari na ugonjwa huo hatari.
Rais Magufuli amevitaka vyombo vyote vya habari kutoa elimu kuhusu corona.
Kadhalika amewataka wananchi kutosafiri hovyo na amemuagiza CS kutotoa vibali vya kusafiri kwa safari zisizo muhimu.
Rais Magufuli amesisitiza hata ndege ya ATCL inayofanya safari za India ikirejea kesho haitasafiri tena kwenda huko.
Maendeleo hayana vyama!
Mbowe ameshajilipia bwashee, weekend hii!amekosa kazi mzee kinganganizi hataki hata mawaziri wake waonekane wakizindua miradi, karakana izinduliwe na waziri wa ulinzi. Bado Mbowe michango inaendelea
uma wa watanzania ndo wamemlipia kwa mapenzi yao kama kiongozi wa CHADEMAMbowe ameshajilipia bwashee, weekend hii!
Watu wanaongelea masuala ya usalama wa nchi we unaleta story za kwenye mataputapu.Tunafatia waliotoka gerezani bwashe wametoka wanne amebakia mwamba ndani saa tano na nusu
We kweli kiazi. Kwani wizara yake ya afya hujasikia inatoa matamko? Ulitaka apite mtaani atangaze.. We kweli bado unanuka maziwa.Yeye kama raisi wa nchi amechukua hatua gani? Magufuli is a country bumpkin!(in Kiranga voice)
Hahahaaaaa. Kiswahili kimepungukiwa bwashee!Kumbe mwenzetu nawe ni mkazi wa Ikulu, hongera zako
Hizi ndizo hatua stahiki tunazochukua kama Taifa!![emoji16][emoji16][emoji16]We kweli kiazi. Kwani wizara yake ya afya hujasikia inatoa matamko? Ulitaka apite mtaani atangaze.. We kweli bado unanuka maziwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli atafute washauri wazuri wa masuala ya siasa...bashiru Na PHD yake ni hopeless kabisa...yani movies wanazocheza za kitoto sana.
Hatua nyingine tuliochukua kama Taifa hii hapa![emoji16][emoji16][emoji16]We kweli kiazi. Kwani wizara yake ya afya hujasikia inatoa matamko? Ulitaka apite mtaani atangaze.. We kweli bado unanuka maziwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti mnaweza msibusiane mambo yakawezekana na ikawa raha tuu. Interesting
Ni kweli. Kwa mujibu wa Polepole watakaoathirika ni wapinzaniMnafanya mizaha ila ngoja ufike ili uandike tena comments za namna hii.