Rais Magufuli: Mpaka sasa Tanzania (Bara&Visiwani) hatuna mgonjwa wa Corona. Nawasihi watanzania kuchukua hadhari

Korona isipopatikana tiba au chanjo itaisha yenyewe ila haitaisha hivihivi lazima italaza watu wakutosha chini!!
Kama mazingira itavifavour virusi vya korona vitaishi!!..
Ukweli mchungu ni magonjwa mengi ya virusi huwa havina dawa!! Isipokuwa wanaipa nguvu kinga yako ya mwili kupambana na virusi husika ama wanablock kitu kinachofavour virusi husika!

Hakuna Cha Mungu hai au mfu atakaekuja kumpigania binadamu kwani intelligence is what we call GOD! and we are the part of it!! We must use our own intelligence to defend our intelligent kingdom.
 
Mshenzi wewe na huna adabu na Mungu muumba mbingu.

Mbona huulizi alivyomuacha Adamu afe? Mbona Adamu alikufa je Mungu hakuwepo?

Hata Corona iue dunia nzima yeye atabaki kuwa Mungu na wala hapelekeshwi na vineno vyako vya kipumbavu
Habari yenu wakristo kwa waislamu!

Huu ndio wakati muafaka sana wa nyie (wakristo na waislam) kumuomba Mungu awapambanie dhidi ya ugonjwa wa Corona, au mnataka kuendelea kufa? Yule Mungu wenu anayeitwa Yahweh (in Hebrew) na Allah (in Arabic), yule Mungu ambaye alijithibitisha kwa Abraham... ndiye Mungu mnaetakiwa kumlilia sasa awaweke mbali na hili janga la huu ugonjwa.

Kwa maana huyu Mungu ni Mungu aliyekuwepo tangu milele yote na ataendelea kuwepo, ni Mungu anayeweza yote, anayejua yote na ndiye aliyeumba huu ulimwengu wote. Mbali na hizo sifa, hamuishii hapo, ndiye Mungu mtakatifu, mwenye haki, mkamilifu na yupo kila mahali. Lakini sifa ya muhimu sana kwa wakati huu juu yenu, ni Mungu anayesikiliza maombi na anajibu pia.

In reality, huyo Mungu mwenye hizo sifa zote hapo juu, ni Mungu mzuri sana, na hawezi kuacha mteseke.. ni lazima atasikia maombi yenu na kwa kuwa ni Mungu wa haki, mkamilifu na mwenye huruma, hawezi kuwaacha viumbe wake msio na hatia juu ya janga la Corona mteketee.

Hebu muombeni basi ainusuru dunia, yeye ni muweza yote, sio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu ameshindwa kuzuia makanisa yasifungwe baada ya Corona kuleta shida!
millardayo_B9qZZkrAOTy.jpeg
 
Kwani yale mafuta hayafui dafu kwa conv 19
 
Huo ukimwi tu ameshindwa kuumaliza miaka zaidi ya 40 sasa ndio itakuwa hii mpya! Corona
 
Tanzania Haupo Ama Wanaotakiwa Kusema Juu Ya Hilo Hawapo
 
Niwaombe vyama vyote kukemea yeyote atakayebainika kupingana na mapambano ya Corona yatakayoendeshwa na serikali. Tuwaachie taasisi husika zifanye kazi yake, lakini pia turuhusu serikali ituambie ukweli na tukiona hatuambiwi ukweli na uthibitisho tunao Basi tuwaambie wananchi ukweli.

Serikali nyingi za afrika zinatabia yakuficha matatizo kwa kuamini kila Jambo Ni Siri kwa wananchi.corona siyo Siri Ni janga la Dunia. Corona haiwezi kutumika kisiasa kwa kutafuta kura, tuombe isifike Tanzania na pale maombi yetu yatakapojibiwa tukawa salama bila Corona viongoz na wanasiasa wasijisifu kwamba chama flani kimefhibiti Corona Bali sifa na utukufu tumwachie Mungu.
 
👏👏👏👏👏👏👏👏
 
Wewe unasema isifike Tanzania mkuu ilihali jana kuna taarifa zinasambaa zikiambatana na video zikionyesha watu ambao ni suspected wapo pale Moshi mjini hospitali ya mawenzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la viongozi wetu kwa sasa wako busy na siasa na kuonyeshana ugangwe, badala tushikamane kuweka mipango thabiti ya kuthibiti Covid-19. Tuko busy kugongana virungu ilihari corona haichagui inapiga kotekote.
 
Yes umeongea hoja mwafaka na kwa wakati mwafaka,hii CORONA ni PANDEMIC kwa sasa,nilitegemea serikali yangu iwe imeshaunda kamati maalum ya kupigana na ugonjwa huu,nilitegemea mawaziri wangu wa Afya,mambo ya ndani,nchi za nje,na madaktari maalum wa magonjwa ya uenezi wawe wametake charge ya mapambano but until now only our no1 ndio ametoa kauli ya kitaifa kuhusiana na hili na ameiongelea zaidi kisiasa wakati hili ni tatizo kubwa;ninategemea mpaka leo umma wa watanzania wawe wameshaelewa tofauti ya dalili ya Corona na fluu ya kawaida,njia za kumtambua mwathirika,jinsi ya kumsaidia kumfikisha kwenye vituo maalum vya kuwahudumia,tufunge mipaka ya nchi(tuwe waangaligu nani anatoka na nani anaingia nchini)elewa nchi yetu ulinzi wa mipaka yetu ni mdogo sana,nilitegemea mpaka leo nchi yangu imeshatangaza hospitali maalum kwa kila mkoa ya kupokea wenye dalili hizi ikiwa na vifaa na wataalam maalum(wale madakitari waliotaka kwenda china wako wapi?au nao walitafuta kiki?,why hawakuamua kuzunguka nchi nzima kuelezea huu ugonjwa ?huku LINGUSENGUSE hakuna kampeni yeyote kuhusiana na hili gonjwa)tuelewe Tanzania sio kisiwa huu ugonjwa utafika ni muhimu tujiandae kukabiliana nao.
 
Niwaombe vyama vyote kukemea yeyote atakayebainika kupingana na mapambano ya Corona yatakayoendeshwa na serikali. Tuwaachie taasisi husika zifanye kazi yake, lakini pia turuhusu serikali ituambie ukweli na tukiona hatuambiwi ukweli na uthibitisho tunao Basi tuwaambie wananchi ukweli.

Serikali nyingi za afrika zinatabia yakuficha matatizo kwa kuamini kila Jambo Ni Siri kwa wananchi.corona siyo Siri Ni janga la Dunia. Corona haiwezi kutumika kisiasa kwa kutafuta kura, tuombe isifike Tanzania na pale maombi yetu yatakapojibiwa tukawa salama bila Corona viongoz na wanasiasa wasijisifu kwamba chama flani kimefhibiti Corona Bali sifa na utukufu tumwachie Mungu.
Kama ningekuwa na uwezo wa kuishauri hiyo Corona,ningeiomba itufagilie nchi yetu kwa kuwafyekelea mbali hawa mchwa wanaojita wanaccm from mwenyekiti wa taifa hadi mshabiki wa vichochoroni huko ili watanzania milioni 41 wanaobaki waanze kufaidi matunda ya nchi yao
 
Tunasikia matamko mbalimbali kutoka kwa Rais na Waziri mwenye dhamana ya Afya zetu. Ila hakuna tamko limetolewa na Bohari ya Dawa MSD kama kuna dawa za kutosha kutibu ugonjwa huo zaidi ya siasa za kunawa mikono. Mganga mkuu wa serikali nae yupo kimya hakuna taarifa ya kuwa na wauguzi wa kutosha kukabiliana na kadhia hii. Zaidi ya tamko la kusitisha michezo ya Umiseta na Umishumta. Tuna safari ndefu sana.

HUU ugonjwa unatibiwa na dawa gani
 
Back
Top Bottom