Rais Magufuli: Mpaka sasa Tanzania (Bara&Visiwani) hatuna mgonjwa wa Corona. Nawasihi watanzania kuchukua hadhari

Baada ya nchi ya Congo na Kenya kuthibitisha uwepo wa Wagonjwa wa Corona, ni vyema Serikali kufunga mipaka yote ya nchi yetu. Pia ni vyema Serikali izuie kwa muda watanzania kusafiri nje ya nchi (isipokuwa kwa ulazima mkubwa).
Hatua hii itasaidia kuzuia virusi vya Corona kutoingia Tanzania.

Hatua kama hii imechukuliwa na Marekani. Marekani imezuia kutua kwa ndege zote kutoka Ulaya isipokuwa Uingereza.
Vitu muhimu kama chakula na dawa ndio viruhusiwe kusafirishwa na pawe na udhibiti mkali kwenye usafiriahaji wa vitu hivyo

Pia ni vyema serikali ikawaweka karantini watu wote waliotoka nchi za nje hivi karibuni.
 
Corona !Tusali sala za mwisho maana sioni mlango wa kutokea
 

Marekani wamechukua hatua hizi lakini sisi bado tunaendelea kusema Wachina ni washikaji zetu toka zamani. Rais Magufuli jali afya na uhai wa Watanzania. Funga Mipaka yetu kama walivyofanya Wamarekani Na Uganda
 
 
Jamaa mmoja kule Facebook alisema sisi binadamu tunahangaika na. Corona halafu yeye mungu amekalisha tako chini.
Moyoni nikasema huyu jamaa aliwaza alifika mbali sana.

Sent from my GM1910 using Tapatalk
 
Kwani alikuahidi kuwa atakuondolea Corona?
 
Ninachojua kuna nguvu iliyo juu sana ya nguvu zote hiyo nguvu ndiyo inao uwezo wa kuruhusu na kutoruhusu na kila maamuzi yanayo sababu ila binadamu wameitafsiri nguvu hiyo ni mungu lakini wanapishana katika kuheshimu nguvu hiyo ndipo ikazaliwa dini viongozi wa hizo dini ndiyo wakaleta hizo falisafa/teolojia hapo kwenye teolojia kuna Dini nyingi zilizaliwa na zitendelea kuzaliwa. Ila wewe na mimi tujiulize Shwali rahisi tu kwanini tupo duniani? Ni nani nani aliyemwambia mwanamke kwanza utakapomzaa mtoto umnyonyeshe, Ni nani hasa aliyetengeneza Mtu mweusi aishi kwenye jua Kali na misitu minene hivi na magonjwa makubwa na bado akahimili hapohapo akatengeneza mtu mweupe kwenye baridi Kali na wanashindwa kumudu kuishi vizuri kwenye ardhi ya mtu mweusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…