Rais Magufuli: Mpaka sasa Tanzania (Bara&Visiwani) hatuna mgonjwa wa Corona. Nawasihi watanzania kuchukua hadhari

Rais Magufuli: Mpaka sasa Tanzania (Bara&Visiwani) hatuna mgonjwa wa Corona. Nawasihi watanzania kuchukua hadhari

Mana naona hata jamiforums wamefunga ofc zao [emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji30][emoji30][emoji119][emoji119][emoji119] mzalendo iq1,

Jr[emoji769]
 
Haya wewe sema ujinga janga likiingia bongo alafu likawa linasambaa Kama linavyo sambaa kwa wazungu pia hata kutuua likawa Kama kwa wazungu Basi mjue hamna atakae tusaidia Zaid ya MUNGU Kwan likiingia WATU wakakaa bila taadhar hata kwa wiki mbill inatosha kuweza kusambaa NCH mzima
wewe umeandika ujinga tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku mje kutuokoa maana mliambiwa msikate miti mkaziba masikio. Ndio naisubiri ya mwezi huu mvua unakumbuka kitabu cha kiswahili zama zile shule ya msingi ni shule Maruriko ya Rufiji. Tuombeane heri bwawa likimalizika hakutokuwa na mafuriko ila hivi sasa ngoja kwanza. Tunajenga madungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Dungu yenyewe si inazama na maji kama yamefika vijijini mashambani kutabaki dungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala la Corona virus Sasa hivi Ni mlipuko wa dunia nzima. Ni kweli media imechangia Sana watu kupanick, lakini hapa kwetu Tanzania tunasubiri Nini kuchukua hatua stahiki. Maana so far naona vikauli kauli na visalamu vya utani utani tu lakini juhudi za ukweli na serious hakionekani Kama kwingine. Au ndio mpaka ije?

Kenya na Rwanda wao wameshaconfirm na wanachukua hatua kali za tahadhari Kama kuzuia watu safari zisizo za lazima nk. Nchi zilizoendelea ndio usiseme wamefunga mashule, na kusimamisha shughuli zote za mikusanyiko, huku Jana tu Jmamosi harusi kama kawa.

Leo mwendo kasi kama zote, mipira inaendelea. Je, hii ni sawa? Corona itakapofika nani tumpake damu za Watanzania watakaokufa? Maana Wachina wanakuja, watalii Arusha kama wote, na mipaka ipo free to as if sisi tuna mkataba na Mungu kuwa haitofika kwetu.

Hivi ni pesa tu inatufanya tunajisahau namna hii?

Disappointed.
 
Back
Top Bottom