MKUYENGE
JF-Expert Member
- Jun 26, 2019
- 4,107
- 4,612
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida kabisaNdo akili zake huyo, yaani hotuba yake siku zote usikae karibu na watoto wala unaowaheshimu.
Ni kama mondi, hachelewi kumwaga mitusi!!
Mkuu Dungu yenyewe si inazama na maji kama yamefika vijijini mashambani kutabaki dunguHuku mje kutuokoa maana mliambiwa msikate miti mkaziba masikio. Ndio naisubiri ya mwezi huu mvua unakumbuka kitabu cha kiswahili zama zile shule ya msingi ni shule Maruriko ya Rufiji. Tuombeane heri bwawa likimalizika hakutokuwa na mafuriko ila hivi sasa ngoja kwanza. Tunajenga madungu
Sent using Jamii Forums mobile app