Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

Huo ni mtazamo wako ktk koti la ukatoliki, kiuhalisia haiko hivyo ktk siasa.
mkuu unaweza uondoa huo mfano wa padri, kisha uutazame mshahara kuwa kwangu una tafsiri pana mno kuliko hala zile anazo pewa mtu kama rais, kila mwisho wa mwezi
 
Naomba kujua mbali na rais kuhudumiwa kila kitu,vp familia nayo inahudumiwa kwa kila kitu,kama vile ada za watoto,matumizi ya watoto,
Pia ni matumizi yapi binafsi ambayo rais anajigharamia mwenyewe? Angalau niweze kujua huyu DG labda wa nssf na Rais kimatumizi yupi ana nafuu.
 
Ili ujue uzito wa kazi yake na anastahili zaidi ya huo mshahara, watu wenye njaa wanamlalamikia wao kuwa wana njaa, wakulima wanamlalamikia yeye kuhusu mazao, vijana wanamlalamikia yeye kuhusu ajira, wagonjwa kulala chini wanamlalamikia yeye, pesa kupotea ktk mzunguko watu wanamlalamikia yeye, nk.
Unajua kwa nini hawa watu wote wanamlalamikia yeye? Ana majukumu mazito zaidi ya udhaniavyo.
Kwani Rais anabeba mzigo mzito peke yake? Hao wasaidizi wake wanafanya nini? Kama anaona mzigo ni mzito kwa nini haombi bunge limpunguzie majukumu? Tusidanyanyane katika Tanzania hii mwenye kubeba mzigo mzito pekee basi ni mchukuzi tu. Nampa challenge Magufuli kama yeye anaona anabeba mzigo mzito basi na ajaribu kuutua urais tuone mimi nitaudaka hata kabla ya kufika chini

Sent from my SM-G920W8 using JamiiForums mobile app
 
..Raisi ni ccm.

..spika ccm.

..majority ya wabunge ni ccm.

..sasa Nani atawazuia hata kama wakiamua kubadili katiba?

Exactly.. ndio matokeo ya makosa ya Uchaguzi Mkuu 2015. Utawalaumu wakitumia wingi wao; si ndiyo demokrasia ile ile.
 
Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametaja mshahara wake kuwa ni Tsh mil 9.5, huku akiahidi atatoa Salary slip zake punde akitoka mapumzikoni Chato.

Hiyo imetokea wakati wa kipindi cha magazeti leo tarehe 01/04/2016 ambapo watangazaji walisoma habari iliyoandikwa na gazeti la nipashe kuwa Zitto na Lissu waomba ataje Mshahara wake na ukatwe kodi.

Wakiwa katika mjadala huo, walipokea taarifa kuwa Rais kawasikia na katuma taarifa ofisi za Clouds kujuza mshahara wake kuwa ni mil 9.5 na atatoa stakabadhi zake akirudi Dar.

Huo ndio mshahara alioukuta na hata Rais Kikwete alikuwa akilipwa kiasi hicho pia.

Chanzo: Clouds 360 Asubuhi hii.
 
Chanzuo: Clouds 360 Asubuhi hii.
3Dah! Mkuu katupata wengi mpaka clouds..
 
Najiuliza hivi Clouds Tv ndo imekuwa Tv ya Taifa ambako mkulu anatolea taarifa? Haya mahaba ya JPM kwa clouds yametokana na nini? TBC ii wapi?? Natamani kumsikia pia Mr. Buhohela....
inategemea na uzito wa kipundi anachofuatilia,kiukweli television ya taifa vipindi vingi vilipoteza mvuto baada ya Tido Mhando kuondoka,watu siku hizi wanapenda taarifa ya habari ya star na Itv kuliko hata tbc.
 
Hiyo fursa kiunganishi ni makonda
 
inaweza ikawa jamaa alipiga pande,lakini wanasema ukibebwa bebeka,hata me nkikuambia ktu fln kzur kana ukikiona kzur lazma ukipende.
Ila mwenye bahati habahatishi riziki ya mbwa iko miguuni kwake wajuzi wa lugha walitanabaisha
 
Sijachangia miaka mingi ila hili la mshahara wa mh Raisi limenigusa. Mh. Magufuli analipwa kidogo sana kulinganisha na other heads of states in East Africa. Predecessor wake "Vasco Da Gama" made a very handsome salary and katuachia UOZO utakaochukua decades kuusafisha. JPM ni mzalendo, wanaopiga kelele hawajui. He deserves 40M kwa mwezi.
 
Kwani yeye akawa analipwa kiasi hicho na magufuri kiasi hichi kanuni ipi imetumika naomba kujua je magufuri kajipunguzia ama nini? Je kisheria kwa Ngazi ya mshahara ni ipi?
 
Back
Top Bottom