Sazira kwetu
Senior Member
- Aug 23, 2015
- 155
- 104
SALARY SLIP HAITOKI NG'OOOOOOOO!Magufuli akiongea na Clouds alitaja mshahara wake na kuahidi atakaporudi likizo ataweka wazi salary slip yake kwani anapenda uwazi.Japokuwa alisharudi likizo lakini salary slip imebaki story ama ahadi hewa au ni stunts.Lakini pengine bado inaprintiwa maana salary slip ya rais yaweza kuwa nzito sana ikachukua miezi kuprintiwa.Naombeni msaada nataka kujua rais anakwepeshewa kodi kiasi
Labda Ilikuwa siku ya wajinga..teh tehMagufuli akiongea na Clouds alitaja mshahara wake na kuahidi atakaporudi likizo ataweka wazi salary slip yake kwani anapenda uwazi.
Japokuwa alisharudi likizo lakini salary slip imebaki story ama ahadi hewa au ni stunts. Lakini pengine bado inaprintiwa maana salary slip ya rais yaweza kuwa nzito sana ikachukua miezi kuprintiwa.
Naombeni msaada nataka kujua rais anakwepeshewa kodi kiasi
Ukisema kuna watu wanachukiiaaaaa!! Nchi masikini jamani!Magufuli akiongea na Clouds alitaja mshahara wake na kuahidi atakaporudi likizo ataweka wazi salary slip yake kwani anapenda uwazi.