Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

Naweza kusema huyu Anko ni mzalendo sana, sijui kama kuna Rais mwingine Afrika anayelipwa hela kama hii.

Anko Magu analipwa mil. 9 tuu. Kiasi ambacho ni kidogo kuliko hata mshahara wa wabunge ambao wao hulipwa mil 12.

Leo kwenye hafla ya kumwapisha Naibu waziri wa Madini, Mheshimiwa Rais alijikuta akitaja kiasi anacholipwa wakati akiongelea suala la mishahara ya watumishi waliokuwa TMA baadae kubadilishiwa sekta, watumishi hao ambao Rais alidai waliboronga huko TMA wanapaswa wasilipwe mil 10 tena mishahara yao ipunguzwe na kuongeza kuwa asiyetaka aache kazi. Maana kuna wengine wanalipwa mishahara ya ajabu sana.

Kwa mshahara huo wa Magu watumishi wengi mno wenye mshahara kumzidi, nashawishika kusema kuwa Rais Magufuli ana mabaya yake lakini ni Rais bora sana kwenye mambo mengi.
Acha mbwembwe,wewe,Kwanza unajuaje Kama anasema ukweli?Kwanza mshahara wake haukatwi Kodi,marupurupu yake vp?hv unajua akitoka Madarakani analipwa kiasi gani?mishahara ya miezi 60!,na ataendelea kupokea mshahara mpaka afe!
Sasa hizi story kwamba ana mshahara mdogo kuriko Mbunge au mkurugenzi,ni story za vijiweni tu.
 
Hata angekua analipwa laki moja, bado ni nyingi sana kwa nafasi yake kama Rais maana maisha yake hayategemei mshahara kwa namna yoyote kuanzia kuvaa kwake, kula, familia yake ni pesa za umma, matibabu yake, na hata mahitaji yake binafsi ni pesa za walipa kodi

Mbali na mshahara ana benefits nyingi ambazo zinaweka sikawa mara kumi ya mshahara anaolipwa
 
aonyeshe salary slip yake kwanza, by the way anapewa mahitaji yote hivyo hata huo mshahara hawezi ugusa
Rais bila mshahara anaishi vizuri kwani pesa zote BOT zipo chini yake anachukua mda wowote akitaka ndiyo maana aliamuaa kununua Ndege bila idhini ya bunge wala nani.
 
sasa kama Mhe. Rais pamoja na majukumu mazito aliyo nayo analipwa 9millioni wewe ni nani unataka kulipwa ziadi ya hapo?!!!
nakubaliana na Rais kama hutaki mshahara wa milioni 7 au 5 kwa mwezi achia ngazi wapo wengi wapo tayari hata kulipwa 3millioni,
wananchi vijijini wanakosa maji, dawa halafu wewe unakula mihela kibao, hapana jamani hata Mungu hapendi hii kitu.
Mshahara mkubwa Mdogo bado kuna mianya ya ufisadi mkubwa, kama magufuli ana uwezo azibe mianya ya ufisadi ambayo itakuwa maradufu pindi wengi wakipunguziwa mishahara watabuni mbinu mpya za kisasa kuiba mpaka aje kushituka imefika mwaka 2025 yeye anatoka ikulu bado wizi wa kalamu upo na hakuna alichofanya kuleta unafuu.
 
Naweza kusema huyu Anko ni mzalendo sana, sijui kama kuna Rais mwingine Afrika anayelipwa hela kama hii.

Anko Magu analipwa mil. 9 tuu. Kiasi ambacho ni kidogo kuliko hata mshahara wa wabunge ambao wao hulipwa mil 12.

Leo kwenye hafla ya kumwapisha Naibu waziri wa Madini, Mheshimiwa Rais alijikuta akitaja kiasi anacholipwa wakati akiongelea suala la mishahara ya watumishi waliokuwa TMA baadae kubadilishiwa sekta, watumishi hao ambao Rais alidai waliboronga huko TMA wanapaswa wasilipwe mil 10 tena mishahara yao ipunguzwe na kuongeza kuwa asiyetaka aache kazi. Maana kuna wengine wanalipwa mishahara ya ajabu sana.

Kwa mshahara huo wa Magu watumishi wengi mno wenye mshahara kumzidi, nashawishika kusema kuwa Rais Magufuli ana mabaya yake lakini ni Rais bora sana kwenye mambo mengi.

9,000,000.
 
Tuache kudanganyana.
Ile mipesa anagawa barabarani anaitoa wapi?
Magu hazina ni yake..huoni kanunua midege na kiwanja pale chattle kajenga?
 
Umeongeaaaa minyoooo kabisaaaa.
Wewe mbweha umetoka shimo gani huko kwa wapumbavu wavuta Bangi? Kipimo cha ufala hapa JF ni kuisengenya ID ya JF kwani haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani ndiyo maana ID yako ni ya kishamba kidwanzi lakini hakuna anayehangaika nayo watu wapo busy na Hoja, naona uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho kwa Akili zako finyu umona ni ujanja kuitusi ID ukizani utapata uteuzi, acha ushamba wako jenga hoja na kama huna hoja nenda kaendelee kuvuta Bangi huko ghetto kwenu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Acha mbwembwe,wewe,Kwanza unajuaje Kama anasema ukweli?Kwanza mshahara wake haukatwi Kodi,marupurupu yake vp?hv unajua akitoka Madarakani analipwa kiasi gani?mishahara ya miezi 60!,na ataendelea kupokea mshahara mpaka afe!
Sasa hizi story kwamba ana mshahara mdogo kuriko Mbunge au mkurugenzi,ni story za vijiweni tu.
Rais hata akilipwa dola milion 5 kwa mwezi kisha atake watanzania kutojua inawezekana, kwani pesa zote ni zake akisema mshahara ni huu siyo huu atamke wowote watanzania wanakubali kwani hakuna mwenye uthubutu wa kwenda kuthibitisha mshahara halisi wa Rais
 
Wapo CCM wavuta Bangi wanaamini kutetea mshahara wa mtukufu watapata Uteuzi, hivi CCM mna nini? iweje uteuzi uwafanye kujitoa fahamu kiasi hicho?
 
Uteuzi sasa umewapagaisha CCM yote kuanzia watarajiwa mpaka wapiga debe wanaoota ndoto ndugu zao wateuliwe, Uteuzi unekuwa janga kubwa mno kwani sasa CCM wanatetea chochote bila kujali Athari zake ili mradi wapate uteuzi
 
Mbona hajalinganisha hiyo mil. 9 na mshahara wa kima cha chini wa mtumishi wa sirikali yake wa sh. laki tatu, atambue kwamba hao wanaolipwa mil. 15 wanahesabika hivyo aache ku-politicize swala la mishahara ya watumishi wa umma.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
CCM hawana huruma na wananchi wapiga kura wameunajisi kuubaka kuulawiti uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani na bado wanaendelea na sinema za kuwahadaa wananchi, CCM ebu waacheni wananchi wapumzike kidogo
 
Mbona hajalinganisha hiyo mil. 9 na mshahara wa kima cha chini wa mtumishi wa sirikali yake wa sh. laki tatu, atambue kwamba hao wanaolipwa mil. 15 wanahesabika hivyo aache ku-politicize swala la mishahara ya watumishi wa umma.
Pesa inayotumika kuwanunua covid 19 kudhoofisha chadema kudidimiza demokrasia kuua upinzani Tanzania ni pesa nyingi mno,ni pesa ambazo zingeweza kuongoza mishahara hata kima cha chini kuwa milion 2 kwa watumishi wa umma, lakini pesa nyingi inapotelea kwa wajanja wachache kwa kisingizio cha kurejesha mfumo wa chama kimoja
 
Si ajabu anapokea milioni zaidi ya arobaini kwa mwezi.

Bado hajapiga mapesa ya wizi wa hapa na pale.

Posho na mapochopocho!

Wakati kuna mwalimu analipwa laki mbili kwa mwezi na anatakiwa kulipa kodi za kila aina!

Aiseee....
 
Back
Top Bottom